Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
UBARIKIWE NDUGU!Acha kuwaza mapenzi, huu ndio wakati wako kuwaza maendeleo na kuweka mipango Yako sawa , kuwekeza, kama huna vitu vya kukuendeshea maisha acha mara Moja utamchoka mke wako mapema kwa sababu mtajikuta mnatazamana kama makondoo tu ndani hasa kama umempata anayetegemea akili zako kufikiri tu ndio umekwisha, pambana weka njia za kikuingizia kipato na tafuta mpambanaji mwenzako la sivyo ukipata beki tatu utakojoa dagaa, NDIO SIO KUGONGA TU KWA SABABU UNA NYEGE BALI NI INSTITUTION yaani wenye heshima zao na waliokubaliana kutengeneza generation na sio kula mbususu tu.
na nitamuona bazazi, tukutsne unisalimie uniombe nambamadame ivi kijana wa kiume kana huyo mtoa mada akikusimamisha salamu kidogo then akakuomba namba ya simu, nn kinakuja kochwani mwako first
Umenikumbusha member mmoja anaitwa ndugu Bazazi Nachekaga sana post na comments za huyu jamaa... uishi miaka mingi ndugu Bazazi 😂😂😂🙌🏾👍🏾na nitamuona bazazi, tukutsne unisalimie uniombe namba
🤓 ila hatamuona kama muhuni ivi sio, maana kunayo pisi za moto alafu ziko smart siu wa ku offer chips mayai mpaka unashindwa uanzie wapanataka kunitongoza
nitamdown grade mno kwanza hunijui salam sio dhambi hilo la kuniomba namba ndio hapana🤓 ila hatamuona kama muhuni ivi sio, maana kunayo pisi za moto alafu ziko smart siu wa ku offer chips mayai mpaka unashindwa uanzie wap
hapo ndo nataka, sasa madamu unadhani nyia nzur ili nisionekane bazazi ni ipi??????????????na nitamuona bazazi, tukutsne unisalimie uniombe namba
Nilichokiona mwamba unatamani kumwaminisha mtu aamini unachoamini weweWe ulishasoma maandiko matakatifu yote ukayamaliza?! Huwa hata unasoma maandiko matakatifu ndugu?! Apart from maandiko matakatifu waliyokuja nayo mitume kuna hadith na visa vyenye mafunzo na vilivyosababisha kushushwa kwa aya tofautitofauti kwenye maandiko matakatifu... unalijua hilo?!
Pole sana ndugu yangu... Maisha ya mwanadamu ni mafupi mno! Na nafkiri napoteza muda kumuelewesha mtu asiyeelewa na asiyetaka kuelewa na aliyechagua maisha ya kutoelewa na kutokujielewa.
we salimia tu hayo mengine yaafuata baadae sio unasalimia hapohapo unaomba nambahapo ndo nataka, sasa madamu unadhani nyia nzur ili nisionekane bazazi ni ipi??????????????
Haya mambo ni Afrika yetu tu! Kwa mfano Madam ukikutana na mtu maarufu aidha mwenye wadhifa wake au maarufu kwa kitu fulani akakuomba namba yako hutampa?! Je! Na huyo utam-downgrade au utahisi na kumuona ni bazazi au ni neema na bahati?!nitamdown grade mno kwanza hunijui salam sio dhambi hilo la kuniomba namba ndio hapana
hahahahanikazama humohumo hata sijui daradara inakwenda wapi
Sasa nisipo kuona tena huoni nimeuza mechiwe salimia tu hayo mengine yaafuata baadae sio unasalimia hapohapo unaomba namba
amkeni kumekucha🤓😂😂Wewe dini gani??tuanzie hapo
Wewe mademu zako wote unawapatia kwenye daladala. Usinunue gari mkuu.Hivi vitu binakujaga bila mipanga unashangaa tu mara umemnasa mdada mkali
Mwaka 2016 ndo nimemaliza form 6 nimeenda kumtembelea sister mbagala wakati nipo zangu zakhiem najiandaa kirudi home tababa nikakutana na pisi moja kalii inaingia kwenye gari dah nikahisi kupagawa aisee na mimi nikazama humohumo hata sijui daradara inakwenda wapi
Nilifanikowa kukaa nae siti moja ila yeye alikaa upande wa dirishani nikaanza salam na kumhoji unashuka wapi akanitajia nashuka kituo x na mimi nikamjibu nashuka hapohapo kituo x kumbe hata sipajui ninapokwenda in short nilifanikiwa kumpata ila tulikuja potezana sijui kwa sasa yupo wapi
Huyu nilienae sasa ilikua mwezi wa 12 mwaka jana nilikua natoka zangu mnazi mmoja nikapanda gari la kuelekea home nilikaa siti karibu na mlango baada ya kufika kkoo kongo ilipanda pisi moja matata aisee ila alienda kukaa siti ya mbele nilibaki namuangalia huku hamu ya matamanio ikinijaa niliapa sishuki hadi nione yule manzi anashuka aisee nilipitiliza kituo cha home huku macho yangu yakimuangalia yeye anashuka wapi mwishowe aliposhuka nami hapohapo nikashuka hivi sasa mnaposoma comment hii huyu dem ni mpenzi wangu na nipo nae getto nacheki nae movie inayoitwa LOVE DON'T COST A THING.
Na huyu anaweza kuwa wife maana anasifa zote japokua hatuna muda mrefu kwenye mahusiano ni mpole, mcheshi, anahofu na mungu na anajiweza kiuchumi pasipo kunitegemea mimi yaani anabiashara zake ni mtafutaji kwa kweli.
Hata wanaosoma hapa wanalijua hilo. Labda ajitokeze mtu achangie hapa au akufuate PM akueleweshe. Uliza hata hapo ulipo. Usiwafate mabazazi wenzio, wafate wenye hekima, akili na busara.Nilichokiona mwamba unatamani kumwaminisha mtu aamini unachoamini wewe
milima haikutani binadam hukutanaSasa nisipo kuona tena huoni nimeuza mechi
mkuu, anategemea ni nani!! kama ni mtu ambae napenda kumuona nitampa sasakumpa namba sio kua umekubali kirahisiHaya mambo ni Afrika yetu tu! Kwa mfano Madam ukikutana na mtu maarufu aidha mwenye wadhifa wake au maarufu kwa kitu fulani akakuomba namba yako hutampa?! Je! Na huyo utam-downgrade au utahisi na kumuona ni bazazi au ni neema na bahati?!
Hapa umeshindwa kuchekecha madam kubali tu 😊milima haikutani binadam hukutana