Mnapata wapi wapenzi?

Mnapata wapi wapenzi?

Acha kuwaza mapenzi, huu ndio wakati wako kuwaza maendeleo na kuweka mipango Yako sawa , kuwekeza, kama huna vitu vya kukuendeshea maisha acha mara Moja utamchoka mke wako mapema kwa sababu mtajikuta mnatazamana kama makondoo tu ndani hasa kama umempata anayetegemea akili zako kufikiri tu ndio umekwisha, pambana weka njia za kikuingizia kipato na tafuta mpambanaji mwenzako la sivyo ukipata beki tatu utakojoa dagaa, NDIO SIO KUGONGA TU KWA SABABU UNA NYEGE BALI NI INSTITUTION yaani wenye heshima zao na waliokubaliana kutengeneza generation na sio kula mbususu tu.
UBARIKIWE NDUGU!
 
We ulishasoma maandiko matakatifu yote ukayamaliza?! Huwa hata unasoma maandiko matakatifu ndugu?! Apart from maandiko matakatifu waliyokuja nayo mitume kuna hadith na visa vyenye mafunzo na vilivyosababisha kushushwa kwa aya tofautitofauti kwenye maandiko matakatifu... unalijua hilo?!


Pole sana ndugu yangu... Maisha ya mwanadamu ni mafupi mno! Na nafkiri napoteza muda kumuelewesha mtu asiyeelewa na asiyetaka kuelewa na aliyechagua maisha ya kutoelewa na kutokujielewa.
Nilichokiona mwamba unatamani kumwaminisha mtu aamini unachoamini wewe
 
nitamdown grade mno kwanza hunijui salam sio dhambi hilo la kuniomba namba ndio hapana
Haya mambo ni Afrika yetu tu! Kwa mfano Madam ukikutana na mtu maarufu aidha mwenye wadhifa wake au maarufu kwa kitu fulani akakuomba namba yako hutampa?! Je! Na huyo utam-downgrade au utahisi na kumuona ni bazazi au ni neema na bahati?!
 
Hivi vitu binakujaga bila mipanga unashangaa tu mara umemnasa mdada mkali
Mwaka 2016 ndo nimemaliza form 6 nimeenda kumtembelea sister mbagala wakati nipo zangu zakhiem najiandaa kirudi home tababa nikakutana na pisi moja kalii inaingia kwenye gari dah nikahisi kupagawa aisee na mimi nikazama humohumo hata sijui daradara inakwenda wapi

Nilifanikowa kukaa nae siti moja ila yeye alikaa upande wa dirishani nikaanza salam na kumhoji unashuka wapi akanitajia nashuka kituo x na mimi nikamjibu nashuka hapohapo kituo x kumbe hata sipajui ninapokwenda in short nilifanikiwa kumpata ila tulikuja potezana sijui kwa sasa yupo wapi

Huyu nilienae sasa ilikua mwezi wa 12 mwaka jana nilikua natoka zangu mnazi mmoja nikapanda gari la kuelekea home nilikaa siti karibu na mlango baada ya kufika kkoo kongo ilipanda pisi moja matata aisee ila alienda kukaa siti ya mbele nilibaki namuangalia huku hamu ya matamanio ikinijaa niliapa sishuki hadi nione yule manzi anashuka aisee nilipitiliza kituo cha home huku macho yangu yakimuangalia yeye anashuka wapi mwishowe aliposhuka nami hapohapo nikashuka hivi sasa mnaposoma comment hii huyu dem ni mpenzi wangu na nipo nae getto nacheki nae movie inayoitwa LOVE DON'T COST A THING.

Na huyu anaweza kuwa wife maana anasifa zote japokua hatuna muda mrefu kwenye mahusiano ni mpole, mcheshi, anahofu na mungu na anajiweza kiuchumi pasipo kunitegemea mimi yaani anabiashara zake ni mtafutaji kwa kweli.
Wewe mademu zako wote unawapatia kwenye daladala. Usinunue gari mkuu.
 
Haya mambo ni Afrika yetu tu! Kwa mfano Madam ukikutana na mtu maarufu aidha mwenye wadhifa wake au maarufu kwa kitu fulani akakuomba namba yako hutampa?! Je! Na huyo utam-downgrade au utahisi na kumuona ni bazazi au ni neema na bahati?!
mkuu, anategemea ni nani!! kama ni mtu ambae napenda kumuona nitampa sasakumpa namba sio kua umekubali kirahisi
 
Back
Top Bottom