Mkuu umenitoa akili, na sahizi unaniita bazaziπ₯², kwani vita? Kila mtu ashinde mechi zake ila punguza kuamini shirki ukitumia neno la mungu, je unayaishi hayo maandiko?Hata wanaosoma hapa wanalijua hilo. Labda ajitokeze mtu achangie hapa au akufuate PM akueleweshe. Uliza hata hapo ulipo. Usiwafate mabazazi wenzio, wafate wenye hekima, akili na busara.
lets say nina mtu tayar sasa nagawa namba ya nn kwa mtu nisiemjua??Hapa umeshindwa kuchekecha madam kubali tu π
Sio kila anayekuomba namba ni bazazi. Na si kila akutongozaye ni bazazi. Kwenye haohao unaowakataa yupo mtu sahihi... π
sawa madammilima haikutani binadam hukutana
usiende kumkaushia kijana wa watu ka-TIGOPESA kake na ka-NMB akaunti kake πππΎSema sasa
ππsawa madam
Inategemea na wewe unashinda maeneo gani.Salaaam vijana wenzangu naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?
Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi??
Nataka tu nimsadie jinsi yakupata mwenzio mie ninamtu aisee Chibabu Carrasco putinusiende kumkaushia kijana wa watu ka-TIGOPESA kake na ka-NMB akaunti kake πππΎ
Sina uhakika na ukisemachoSalaaam vijana wenzangu naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?
Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi??
Kwani Ubingwa, cheo au madaraka hujui huwa vinavuliwa?! Ni ajabu gani kijana kukuvua kule na kuwa wake?!lets say nina mtu tayar sasa nagawa namba ya nn kwa mtu nisiemjua??
am not that kinda woman, nikikupenda ni wewe labda usinipe good return ya kile nachokupa, ni mwepesi wa kukustahmilia, ndugu nna mwaka wa tano huu na mwanaume mmoja tuKwani Ubingwa, cheo au madaraka hujui huwa vinavuliwa?! Ni ajabu gani kijana kukuvua kule na kuwa wake?!
Tena huenda hapo ndo kukawa mwisho wa reli.
We kumbe dalali?! ππ πNataka tu nimsadie jinsi yakupata mwenzio mie ninamtu aisee Chibabu Carrasco putin
Huyo anafake hakun msichan mwenye sifa zote, tena ogopa kuoa bint anaeficha kasoro zakeHivi vitu binakujaga bila mipanga unashangaa tu mara umemnasa mdada mkali
Mwaka 2016 ndo nimemaliza form 6 nimeenda kumtembelea sister mbagala wakati nipo zangu zakhiem najiandaa kirudi home tababa nikakutana na pisi moja kalii inaingia kwenye gari dah nikahisi kupagawa aisee na mimi nikazama humohumo hata sijui daradara inakwenda wapi
Nilifanikowa kukaa nae siti moja ila yeye alikaa upande wa dirishani nikaanza salam na kumhoji unashuka wapi akanitajia nashuka kituo x na mimi nikamjibu nashuka hapohapo kituo x kumbe hata sipajui ninapokwenda in short nilifanikiwa kumpata ila tulikuja potezana sijui kwa sasa yupo wapi
Huyu nilienae sasa ilikua mwezi wa 12 mwaka jana nilikua natoka zangu mnazi mmoja nikapanda gari la kuelekea home nilikaa siti karibu na mlango baada ya kufika kkoo kongo ilipanda pisi moja matata aisee ila alienda kukaa siti ya mbele nilibaki namuangalia huku hamu ya matamanio ikinijaa niliapa sishuki hadi nione yule manzi anashuka aisee nilipitiliza kituo cha home huku macho yangu yakimuangalia yeye anashuka wapi mwishowe aliposhuka nami hapohapo nikashuka hivi sasa mnaposoma comment hii huyu dem ni mpenzi wangu na nipo nae getto nacheki nae movie inayoitwa LOVE DON'T COST A THING.
Na huyu anaweza kuwa wife maana anasifa zote japokua hatuna muda mrefu kwenye mahusiano ni mpole, mcheshi, anahofu na mungu na anajiweza kiuchumi pasipo kunitegemea mimi yaani anabiashara zake ni mtafutaji kwa kweli.
MaashaAllah! Iwe kheir... wengine husema hivyo ila badae hubadilika (huonesha makucha)am not that kinda woman, nikikupenda ni wewe labda usinipe good return ya kile nachokupa, ni mwepesi wa kukustahmilia, ndugu nna mwaka wa tano huu na mwanaume mmoja tu
hapana udongo wa serikali ya jamhuri ya muungano,unapompenda mtu unamuonea huruma, unamvumilia, unamheshim nakumlindia utu wako, hivo ndivoMaashaAllah! Iwe kheir... wengine husema hivyo ila badae hubadilika (huonesha makucha)
Kama sikosei udongo wa maka weye eeh?! πππ€
Aisee! Sasa naamini ila bado mguu nje mguu ndani. Naambiwaga maneno hayahaya na mwenzio nyumbani ila nikisomaga "kula tunda kimasihara" na bwana rikiboy Natoaga imani na wanawake kabisa ingawa ninae tayari. By-the way nimekuuliza asili nikajua ni kama WIFE tu π maana nlifkiri wote mpo namna hiyo (kitabia na misimamo)hapana udongo wa serikali ya jamhuri ya muungano,unapompenda mtu unamuonea huruma, unamvumilia, unamheshim nakumlindia utu wako, hivo ndivo
Mizimu na mungu tena mrembo?! π³π π π huu uganga sasa... eti albarakatu πππππππUlizani ninataka kuwa na wewe hapana nimekupita sana 6 years .
Nenda kaoge uwe msafi kabisa vaa kanzuu nyeupe tandika Ile zulia lenu, halafu washa ubani mashtaka ushitaki kuwa Sina mke, kama Kuna mikosi, balaah na mengi utaongeza basi usisahau ule udi ambao ni upo kama sabuni unaumega unauchoma kidogo huku ukiomba Mungu akubarikie mizimu ya baba na mama ikusaidie upate mke atakayekufaa au ulizia kwenye maduka yakisuna udi wa mapenzi fanya Kwa siku Saba . Siku 3 za mwanzo fukiza udi huo baada ya hiyo Sala ijioni utoke uonekane mitaani sehemu nzuri nzuri halafu utaniambia kama hujapata . Anza na. Ile Sala yakuanza ya kwenu sijui albarkatu sijui Nini utaona .