Mnapata wapi wapenzi?

Mnapata wapi wapenzi?

Hata wanaosoma hapa wanalijua hilo. Labda ajitokeze mtu achangie hapa au akufuate PM akueleweshe. Uliza hata hapo ulipo. Usiwafate mabazazi wenzio, wafate wenye hekima, akili na busara.
Mkuu umenitoa akili, na sahizi unaniita bazazi🥲, kwani vita? Kila mtu ashinde mechi zake ila punguza kuamini shirki ukitumia neno la mungu, je unayaishi hayo maandiko?
 
Hapa umeshindwa kuchekecha madam kubali tu 😊

Sio kila anayekuomba namba ni bazazi. Na si kila akutongozaye ni bazazi. Kwenye haohao unaowakataa yupo mtu sahihi... 😊
lets say nina mtu tayar sasa nagawa namba ya nn kwa mtu nisiemjua??
 
Salaaam vijana wenzangu naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?
Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi??
Inategemea na wewe unashinda maeneo gani.
Japo mahusiano hayana formula.
 
Salaaam vijana wenzangu naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?
Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi??
Sina uhakika na ukisemacho
 
Kwani Ubingwa, cheo au madaraka hujui huwa vinavuliwa?! Ni ajabu gani kijana kukuvua kule na kuwa wake?!

Tena huenda hapo ndo kukawa mwisho wa reli.
am not that kinda woman, nikikupenda ni wewe labda usinipe good return ya kile nachokupa, ni mwepesi wa kukustahmilia, ndugu nna mwaka wa tano huu na mwanaume mmoja tu
 
Hivi vitu binakujaga bila mipanga unashangaa tu mara umemnasa mdada mkali
Mwaka 2016 ndo nimemaliza form 6 nimeenda kumtembelea sister mbagala wakati nipo zangu zakhiem najiandaa kirudi home tababa nikakutana na pisi moja kalii inaingia kwenye gari dah nikahisi kupagawa aisee na mimi nikazama humohumo hata sijui daradara inakwenda wapi

Nilifanikowa kukaa nae siti moja ila yeye alikaa upande wa dirishani nikaanza salam na kumhoji unashuka wapi akanitajia nashuka kituo x na mimi nikamjibu nashuka hapohapo kituo x kumbe hata sipajui ninapokwenda in short nilifanikiwa kumpata ila tulikuja potezana sijui kwa sasa yupo wapi

Huyu nilienae sasa ilikua mwezi wa 12 mwaka jana nilikua natoka zangu mnazi mmoja nikapanda gari la kuelekea home nilikaa siti karibu na mlango baada ya kufika kkoo kongo ilipanda pisi moja matata aisee ila alienda kukaa siti ya mbele nilibaki namuangalia huku hamu ya matamanio ikinijaa niliapa sishuki hadi nione yule manzi anashuka aisee nilipitiliza kituo cha home huku macho yangu yakimuangalia yeye anashuka wapi mwishowe aliposhuka nami hapohapo nikashuka hivi sasa mnaposoma comment hii huyu dem ni mpenzi wangu na nipo nae getto nacheki nae movie inayoitwa LOVE DON'T COST A THING.

Na huyu anaweza kuwa wife maana anasifa zote japokua hatuna muda mrefu kwenye mahusiano ni mpole, mcheshi, anahofu na mungu na anajiweza kiuchumi pasipo kunitegemea mimi yaani anabiashara zake ni mtafutaji kwa kweli.
Huyo anafake hakun msichan mwenye sifa zote, tena ogopa kuoa bint anaeficha kasoro zake
 
am not that kinda woman, nikikupenda ni wewe labda usinipe good return ya kile nachokupa, ni mwepesi wa kukustahmilia, ndugu nna mwaka wa tano huu na mwanaume mmoja tu
MaashaAllah! Iwe kheir... wengine husema hivyo ila badae hubadilika (huonesha makucha)

Kama sikosei udongo wa maka weye eeh?! 😊😊🤔
 
hapana udongo wa serikali ya jamhuri ya muungano,unapompenda mtu unamuonea huruma, unamvumilia, unamheshim nakumlindia utu wako, hivo ndivo
Aisee! Sasa naamini ila bado mguu nje mguu ndani. Naambiwaga maneno hayahaya na mwenzio nyumbani ila nikisomaga "kula tunda kimasihara" na bwana rikiboy Natoaga imani na wanawake kabisa ingawa ninae tayari. By-the way nimekuuliza asili nikajua ni kama WIFE tu 😊 maana nlifkiri wote mpo namna hiyo (kitabia na misimamo)
 
Ulizani ninataka kuwa na wewe hapana nimekupita sana 6 years .

Nenda kaoge uwe msafi kabisa vaa kanzuu nyeupe tandika Ile zulia lenu, halafu washa ubani mashtaka ushitaki kuwa Sina mke, kama Kuna mikosi, balaah na mengi utaongeza basi usisahau ule udi ambao ni upo kama sabuni unaumega unauchoma kidogo huku ukiomba Mungu akubarikie mizimu ya baba na mama ikusaidie upate mke atakayekufaa au ulizia kwenye maduka yakisuna udi wa mapenzi fanya Kwa siku Saba . Siku 3 za mwanzo fukiza udi huo baada ya hiyo Sala ijioni utoke uonekane mitaani sehemu nzuri nzuri halafu utaniambia kama hujapata . Anza na. Ile Sala yakuanza ya kwenu sijui albarkatu sijui Nini utaona .
Mizimu na mungu tena mrembo?! 😳😅😅😅 huu uganga sasa... eti albarakatu 😂😂😂😂😂😂😂

KUMEKUCHA!
 
Back
Top Bottom