Ulizani ninataka kuwa na wewe hapana nimekupita sana 6 years .
Nenda kaoge uwe msafi kabisa vaa kanzuu nyeupe tandika Ile zulia lenu, halafu washa ubani mashtaka ushitaki kuwa Sina mke, kama Kuna mikosi, balaah na mengi utaongeza basi usisahau ule udi ambao ni upo kama sabuni unaumega unauchoma kidogo huku ukiomba Mungu akubarikie mizimu ya baba na mama ikusaidie upate mke atakayekufaa au ulizia kwenye maduka yakisuna udi wa mapenzi fanya Kwa siku Saba . Siku 3 za mwanzo fukiza udi huo baada ya hiyo Sala ijioni utoke uonekane mitaani sehemu nzuri nzuri halafu utaniambia kama hujapata . Anza na. Ile Sala yakuanza ya kwenu sijui albarkatu sijui Nini utaona .