[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikua hamjui Williams, woiiiihNa walipompatia akashindwa kuyahimili [emoji23][emoji23]
Na kwa sababu hiyo hampaswi kuendelea kulalamika, kiuhalisia mmetolewa kihalali kwa kukosa kuwa na wapigaji penati wazuri.ni kweli kabisa,japo tumeibiwa goli lakini upigaji wetu wa penati haukuwa makini,ni wazi wachezaji hawakuwa makini,ama hapakuwa na matayarisho ama wachezaji walikuwa,wametoka mchezoni
Mie nilivunjika mbavu pale Aziz ki alipoachia shuti halafu likapanguliwa na huyo dogo ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikua hamjui Williams, woiiiih
Si ulisema hushabikiagi hizi timu..kumbe ww ni mwana uto lia lia ..hapa kila mtu anatoa maoni yake..je ingekua upande wa Simba ndo kafanyiwa hivyo nyie mngekuja na lugha gani?Mbumbumbu uko bus kufungua nyuzi...una furahi umepata mwenzio wa robo ? Kweli Rage hakukosea kuwaita Mbumbumbu...
Pumbav
Unajificha kweny matokeo ya wengine ysko mbona husemi
Mwakarobo jr hana huo mpango, bado analilia goli alilodhurumiwa.
Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.
Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.
Huyo Aziz ki aliyefunga goli lililokataliwa ilikuwaje akashindwa kurudisha goli lake alilodhurumiwa pale alipoenda kupiga penati?
Ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa πΈπΈ wameonewa.
Tayari πΈπΈ mmeshakuwa Mwakarobo jr kihalali kabisa, acheni kuwalaumu waamuzi.
Cha muhimu Mama J fc kababuka huko sauzi..
Ilitakiwa haki idaiwe kabla ya matuta, kama mlienda matuta ilionesha mumekubaliana na yote ya nyuma na kama mngeshinda matuta hizi lawama tusingezisikia.We fala hao mbwa wako hawakutakiwa wafike hatua ya matuta
Subiri povu na matusi ya mwilini hapoMnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.
Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.
Huyo Aziz ki aliyefunga goli lililokataliwa ilikuwaje akashindwa kurudisha goli lake alilodhurumiwa pale alipoenda kupiga penati?
Ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa [emoji196][emoji196] wameonewa.
Tayari [emoji196][emoji196] mmeshakuwa Mwakarobo jr kihalali kabisa, acheni kuwalaumu waamuzi.
Hawajakubali kuwa wameshindwa baada ya kukosa na zile penati ππIlitakiwa haki idaiwe kabla ya matuta, kama mlienda matuta ilionesha mumekubaliana na yote ya nyuma na kama mngeshinda matuta hizi lawama tusingezisikia.
Wameshatukana sana ππSubiri povu na matusi ya mwilini hapo
Kama wana kichaa cha mbwa vile.Wameshatukana sana [emoji23][emoji23]
Wangeshinda penati hizi lawama tusingezisikia. Sasahivi ndio imekuwa sababu ya wao kujitetea kuwa walidhulumiwa.Hawajakubali kuwa wameshindwa baada ya kukosa na zile penati [emoji23][emoji23]
Una hoja naomba usikilizwe!Haikusaidii chochote kutuletea maoni ya watu. Haibadilishi chochote, kubali yaishe.