Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

ni kweli kabisa,japo tumeibiwa goli lakini upigaji wetu wa penati haukuwa makini,ni wazi wachezaji hawakuwa makini,ama hapakuwa na matayarisho ama wachezaji walikuwa,wametoka mchezoni
Na kwa sababu hiyo hampaswi kuendelea kulalamika, kiuhalisia mmetolewa kihalali kwa kukosa kuwa na wapigaji penati wazuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikua hamjui Williams, woiiiih
Mie nilivunjika mbavu pale Aziz ki alipoachia shuti halafu likapanguliwa na huyo dogo 😂😂

Aziz ki aliishia kupanua domo na kulamba nyasi kwa uchungu 😂😂
 
Pumbavu mwenyewe.

Matokeo yapo wazi.

Tunaye Mwakarobo senior, huyu ni mzoefu wa mikikimikiki ya kimataifa hanaga makasiriko akifungwa.

Pia tunaye Mwakarobo junior,kazaliwa April 5, ndio kwanza anatambaa, mikikimikiki ya kimataifa haiwezi, ana makelele mengi na makasiriko kibao yaani utoto unamsumbua sana.
Pumbav
Unajificha kweny matokeo ya wengine ysko mbona husemi
 
Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.

Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.

Huyo Aziz ki aliyefunga goli lililokataliwa ilikuwaje akashindwa kurudisha goli lake alilodhurumiwa pale alipoenda kupiga penati?

Ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa 🐸🐸 wameonewa.

Tayari 🐸🐸 mmeshakuwa Mwakarobo jr kihalali kabisa, acheni kuwalaumu waamuzi.
1712391616368.png
 
We fala hao mbwa wako hawakutakiwa wafike hatua ya matuta
Ilitakiwa haki idaiwe kabla ya matuta, kama mlienda matuta ilionesha mumekubaliana na yote ya nyuma na kama mngeshinda matuta hizi lawama tusingezisikia.
 
Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.

Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.

Huyo Aziz ki aliyefunga goli lililokataliwa ilikuwaje akashindwa kurudisha goli lake alilodhurumiwa pale alipoenda kupiga penati?

Ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa [emoji196][emoji196] wameonewa.

Tayari [emoji196][emoji196] mmeshakuwa Mwakarobo jr kihalali kabisa, acheni kuwalaumu waamuzi.
Subiri povu na matusi ya mwilini hapo
 
Ilitakiwa haki idaiwe kabla ya matuta, kama mlienda matuta ilionesha mumekubaliana na yote ya nyuma na kama mngeshinda matuta hizi lawama tusingezisikia.
Hawajakubali kuwa wameshindwa baada ya kukosa na zile penati 😂😂
 
Hawajakubali kuwa wameshindwa baada ya kukosa na zile penati [emoji23][emoji23]
Wangeshinda penati hizi lawama tusingezisikia. Sasahivi ndio imekuwa sababu ya wao kujitetea kuwa walidhulumiwa.

Siku zote matokeo ya kitu chochote ndio yanazaa lawama au kujidai, bahati mbaya matokeo yameangukia kuzaa lawama badala ya kujidai iliyotarajiwa.

Hapa mimi siwezi kutetea, labda ningesimama na wao endapo wangeanza kudia ile hali ya goli kabla ya kukubali matuta.
 
Back
Top Bottom