Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

Simba inakutesa sana.......
Nimekumbuka Jana haujala DAKU
 
Diarra kudaka tu kapenalty kamoja akaanza kuwatoa watu akili
Zile zingine zote zilimshinda muda ndio akajimwambafu na hiyo moja aliyozuia Ila alitolewa huku Mamelodi wakikomea kupiga penati 4 tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hakuna aliyefunga kula ila kuna tuliobadilisha tu ratiba za milo.
All in all katika upigaji wa penati Huwa hatulaumiani kwasisi tuliowahi kukiwasha

Ila ndugu pole unaonekana hata CHANDIMU hujacheza๐Ÿ˜‚
 
Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
 
Mwamba HUYU HAPA.......

Napendekeza ajengewe sanamu kubwa pale mitaa ya msimbazi........katuepusha naejambo zito Sana.......Mungu amuhifadhi
 
povu kutoka 2-mtungi aaa wee 3-mtungi mitungi mitungi mitungi ni mitungi mitatu home na ugenini.
 
Mimi naona simba na yanga zote zimepiga hatua mno mno.

Sizibezi hata kidogo kwa hiyo hatua ya robo, japo wanaitwa kina mwakarobo ila ni hatua nzuri kuliko zile za kwenda uarabuni kula kono la nyani hatua za awali tu.

Walau tufike ile hatua kuingia makundi sio big deal, kama ilivyo kwa giants wengi wa Africa.

Big up kolowizard na Utopolo.
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Wewe uliyefikisha average ya ball possession ya 50% ilikusaidia Nini? Mbona umepigwa nje ndani Kama umesimama? Hatua hii ya mtoano ball possession inakupeleka wapi? Udumavu wa akili uanzia utotoni na ndiyo maana mangungu anaongoza wengi wenye udumavu wa akili ndiyo maana ataendelea kuwaongoza mpaka kiama!
 
Sasa kwa Nini wewe umekuja kuandika hapa basi na wewe ni miongoni mwao hao vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ