Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

Kunywa maji Mwakarobo Junior toa mwiko Nyuma akili zikurudie,bila takwimu kama hizo unapata wapi legitimacy ya kulalamila eti nyie mpo Bora mnalilia semi final ambayo haikuwa kwenye malengo yenu,na bado mnatafuta huruma isiyokuwepo eti mmeonewa ,Je mlitaka mshinde kimazabe kama kawaida yenu mpira wacheze wengine kushinda mshinde nyinyi?,
 
Sasa penalty sisi za nini na wakati sisi tulitaka kushinda ndani ya dakika 90 na wao wakatunyima goal la wazi, wewe nae sijui hamnazo.
 
Ndio nasema nyie mliokuwa Bora kwa takwimu za ball possession kwakuwa mmecheza mpira mkubwa scoreboard ilisoma ngapi?
 
Kuna maeneo umeandika ujinga mwingi, ila Yanga waimarishe kikosi hasa eneo la ushambuliaji. Yanga walikuwa na nafasi ya kumaliza hii gemu kuanzia huku dar, Mzize ni mchezaji wa hovyo sana. TImu haiwezi kutegemea Mzize na Guede kuchukua makombe ya Afrika. Yanga itafute namba 5 ya kueleweka na washambuliaji 2 matata, Mzize atolewe kwa mkopo na Guede wamrudishe walikomtoa.
 
Anza kuja
Waliathirika ki saikolojia ,swali fikirishi je ulishawahi kunyang'anywa tonge mdomoni na mbwa
 
Mkuu huogopi kutupiwa majini? Wamechafukwa kweli kweli hawa vyura
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…