Kunywa maji Mwakarobo Junior toa mwiko Nyuma akili zikurudie,bila takwimu kama hizo unapata wapi legitimacy ya kulalamila eti nyie mpo Bora mnalilia semi final ambayo haikuwa kwenye malengo yenu,na bado mnatafuta huruma isiyokuwepo eti mmeonewa ,Je mlitaka mshinde kimazabe kama kawaida yenu mpira wacheze wengine kushinda mshinde nyinyi?,Wewe uliyefikisha average ya ball possession ya 50% ilikusaidia Nini? Mbona umepigwa nje ndani Kama umesimama? Hatua hii ya mtoano ball possession inakupeleka wapi? Udumavu wa akili uanzia utotoni na ndiyo maana mangungu anaongoza wengi wenye udumavu wa akili ndiyo maana ataendelea kuwaongoza mpaka kiama!