Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
Posta walikua wanatucharge ile 2300 nafikiri, vipi hawa speedaf wao.Sio kweli, Mzigo unakufikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Posta walikua wanatucharge ile 2300 nafikiri, vipi hawa speedaf wao.Sio kweli, Mzigo unakufikia
Wao ni freePosta walikua wanatucharge ile 2300 nafikiri, vipi hawa speedaf wao.
Kwa experience yangu ndogo nilikua nikiagiza mizigo ikaja na Cainiao super Economy global, ilikua inachukua mpaka 2 months vipi hawa speedaf kwa hiyo hiyo kama ya mleta mada hapo juu, au vipi experience yako na hawa jamaa.Wao ni free
Speedaf ndio cainiao, mizigo inachukua maximum wiki 2 inakuwa imefika Tanzania, changamoto inaanzia hapa Tanzania, wakala wao ndio wanachelewesha kusambaza mizigo. Utakuta mzigo una zaidi ya wiki 1 upo Tanzania ila mteja hujapigiwa ukaupokee, kwa hiyo unasubiria mpaka upigiwe. Mimi nilishachukua namba ya wakala wa eneo langu, kwa hiyo mzigo nikiutrack na kuona umefika, nampigia kumuuliza kama ameshauchukua ananiambia nikauchukue. Speedaf wako bomba kuwahi kusafirisha mizigo kutoka China mpaka Tanzania, sema changamoto kidogo ipo kwa hawa mawakala wa Tanzania.Kwa experience yangu ndogo nilikua nikiagiza mizigo ikaja na Cainiao super Economy global, ilikua inachukua mpaka 2 months vipi hawa speedaf kwa hiyo hiyo kama ya mleta mada hapo juu, au vipi experience yako na hawa jamaa.
Speedaf ndio cainiao, mizigo inachukua maximum wiki 2 inakuwa imefika Tanzania, changamoto inaanzia hapa Tanzania, wakala wao ndio wanachelewesha kusambaza mizigo. Utakuta mzigo una zaidi ya wiki 1 upo Tanzania ila mteja hujapigiwa ukaupokee, kwa hiyo unasubiria mpaka upigiwe. Mimi nilishachukua namba ya wakala wa eneo langu, kwa hiyo mzigo nikiutrack na kuona umefika, nampigia kumuuliza kama ameshauchukua ananiambia nikauchukue. Speedaf wako bomba kuwahi kusafirisha mizigo kutoka China mpaka Tanzania, sema changamoto kidogo ipo kwa hawa mawakala wa Tanzania.
Tracking number ikianza na TZ000
View attachment 2538050
- Tambua mzigo unapita mikononi mwa speedaf.
Baada ya wiki mbili angalia update ya mzigo wako, utaona mahala umefikia.
- Muda ni msema kweli, Tusubirie wiki mbili, muuliza swali ataweka update. Sina cha kuongeza kwa sasa.Naomba leo nipingane na wewe japo ndio mambo yako haya ya mtandaoni ila kuna wakati yawezekana unapitiwa. Speedaf kwenye aliexpress inatumika kama standard shipping method kuja huku kwetu pia alibaba. Ila si kwamba zote zinazoanzwa na Tz….. kwamba carrier ni SpeedAf.
Turudi kwenye post hapo mdau juu unaona kabisa amechagua Super Economy nadhani sababu ya kupunguza gharama na hicho kitamcost. Bure ghali Inabidi tu asubiri mpaka hiyo May[emoji23] kama hatopigiwa maana njia aliyochagua hata tracking haina hawezi kujua mzigo umeshatoka. Upo warehouse ama wapi. Na hizi kupotea huwa ni ipo na hutojua nani wa kumlaumu.
Posta ni rahisi kuliko wao.mkuu kwanini unataka kuwaruka speedaf kuna nini wanakosea.....!?
- Muda ni msema kweli, Tusubirie wiki mbili, muuliza swali ataweka update. Sina cha kuongeza kwa sasa.
Lipa kodi mkuu kwa maendeleo ya nchi.Na wakuu vipi kuhusu swala la kodi
umesha upataWakuu kweli baada ya wiki mbili nimepewa status hizo hapoView attachment 2553258View attachment 2553257View attachment 2553259
mkuu samahani na pole na majukumu, hivi nawezaje kuship mzigo kutoka Alibaba bila kutumia usafiri wao, make usafiri wao umesimama vibaya- Muda ni msema kweli, Tusubirie wiki mbili, muuliza swali ataweka update. Sina cha kuongeza kwa sasa.
Badoumesha upata
Kama Ni SpeedAf wanao ship wakiupata tuu wanakutaarifu kwa Email.Ila hapo kwenye jina la shipper speedaf hajaandikwa hii imekaaje?
mzigo wangu uko njiani na unakuja na speedaf ukifika nitakupa feedback which is which.Mnatuchanganya sasa. Kuna thread ilianzishwa humu na ililenga kutuzuia watu tusitumie Speed Af kwa sababu kuna wizi unaofanyika mzigo ukiingia Tanzania
Lakini hii thread inaonesha Speed Af ni njia salama ya kusafirisha mzigo wako, Sasa which is which [emoji848][emoji848]
Wewe upo mkoa upi...!?mzigo wangu uko njiani na unakuja na speedaf ukifika nitakupa feedback which is which.
NB: nimeagiza makusudi tu niwatest hao speedaf nione.
Za kuambiwa changanya na za kwako - Jakaya Mrisho Kikwete wa MsogaMnatuchanganya sasa. Kuna thread ilianzishwa humu na ililenga kutuzuia watu tusitumie Speed Af kwa sababu kuna wizi unaofanyika mzigo ukiingia Tanzania
Lakini hii thread inaonesha Speed Af ni njia salama ya kusafirisha mzigo wako, Sasa which is which [emoji848][emoji848]