Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Kwa sababu mleta hoja ndio alileta hiyo hoja.Okay huo nimeupata naomba nipe link nyingine.
Ila pia nimegundua umefeli kwakuwa umeshindwa ku attack hoja ukaona bora kumu attack mleta hoja. Logical fallacy, ad hominem.
Wewe ndio ulianza kuniattack na kuniambia ninauliza maswali kama mtoto mdogo, mara uniambie ni suala la common sense badala ya kwenda straight kwenye hoja.
Ndio nikaaza kuona kumbe huwa unajionaga keki, ikabidi nikuambie ukweli kuhusu tabia yako.
Kwani ulishindwa kutoa hoja yako bila kuniattack