Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

Okay huo nimeupata naomba nipe link nyingine.

Ila pia nimegundua umefeli kwakuwa umeshindwa ku attack hoja ukaona bora kumu attack mleta hoja. Logical fallacy, ad hominem.
Kwa sababu mleta hoja ndio alileta hiyo hoja.
Wewe ndio ulianza kuniattack na kuniambia ninauliza maswali kama mtoto mdogo, mara uniambie ni suala la common sense badala ya kwenda straight kwenye hoja.
Ndio nikaaza kuona kumbe huwa unajionaga keki, ikabidi nikuambie ukweli kuhusu tabia yako.
Kwani ulishindwa kutoa hoja yako bila kuniattack
 
Samahani kiongozi. Nimekosea nisamehe.
 
Ila kuna mzigo wangu mwingine umekwama hapo tangu tarehe moja inasoma last mile exception

Nilienda ofisini kwao wakasema mzigo umepotea

Kwenye app ya Aliexpress inasema mzigo upo customs ya Tanzania

Nipeni muongozo kwa yoyote aliyewahi kupitia kitu kama hichi
Screenshot_20230303-001152_Chrome.jpg
 
Ila kuna mzigo wangu mwingine umekwama hapo tangu tarehe moja inasoma last mile exception

Nilienda ofisini kwao wakasema mzigo umepotea

Kwenye app ya Aliexpress inasema mzigo upo customs ya Tanzania

Nipeni muongozo kwa yoyote aliyewahi kupitia kitu kama hichiView attachment 2557154
Mmmh! Pole mkuu
 
Usipanic bro. Nilichomaanisha ni kuwa. Haina haja ya kuagiza mzigo nje kama hapa unaweza kuupata kwa gharama nafuu au sawa na ya nje.

Kuagiza mzigo nje husababishwa either na kutokupatikana kwake hapa nchini au gharama zake huko nje kuwa nafuu (unafuu ukiwa ni pamoja na gharama za kuufikisha hapa nchini).

Hiyo ndio logic na common sense. Sasa sijui kwanini ume panic kiasi hicho bro.

NB: Naomba nipe link ya uzi nilioanzisha nikijisifia kuwa mimi ni genius. Nitafurahi kurudia kuusoma.
Mi nilishaa kununua vutu Tz kuanzia Tv , saa , laptop , viatu ,losheni , cherehani , OBD II MACHINE naagiza kwa ali express na nina vipata kwa wakati na kuokoa pesa nyingi bongo michosho watu sio waaminifu kabisa
 
Kama Ni SpeedAf wanao ship wakiupata tuu wanakutaarifu kwa Email.
Mwanzo wa week niliagiza SSD naona ishaondoka kuja TZ. Naona wako Speed kama wanavyojiita.
Siku ya 12 Leo imepokea Parcel yangu Arusha. Nilichokipenda SpeedAf wako faster, na kama wakiendelea hivi tutakuwa tumepata mkombozi, Pia kwa arusha agent nimependa hawakupi mzigo bila ya kitambulisho na unaweza kufanyiwa delivery ulipo kama ukitaga. Ukikabidhiwa parcel unalipia 1000 Tuu hapo oficn kwao.
 
Attachments

  • SpeedAf.png
    SpeedAf.png
    28 KB · Views: 50
  • Cainao.png
    Cainao.png
    63.6 KB · Views: 56
  • Package1.png
    Package1.png
    201.9 KB · Views: 53
  • SSD.png
    SSD.png
    152 KB · Views: 52
Siku ya 12 Leo imepokea Parcel yangu Arusha. Nilichokipenda SpeedAf wako faster, na kama wakiendelea hivi tutakuwa tumepata mkombozi, Pia kwa arusha agent nimependa hawakupi mzigo bila ya kitambulisho na unaweza kufanyiwa delivery ulipo kama ukitaga. Ukikabidhiwa parcel unalipia 1000 Tuu hapo oficn kwao.
Huo ni mzigo gani
 
Kiukweli sijaona tofauti sana kati ya Speedaf na Posta, maana nimeangiza mizigo 2; wa kwanza ulitumwa kupitia Speedaf na wa pili kupitia Singapore post.

Mzigo wa kwanza nilipigwa na Speedaf nisogee maeneo fulani mtu wa delivery akanipatia mzigo wangu.

Mzigo wa pili (kesho yake) Posta wakaniambia nikauchukue. Lakini naamini hii ni kwa Singapore post, maana mizigo yangu ya Singapore post huwa inafika ndani ya siku 7-15 kwa experience (kama si kifaa chenye battery).
 
=
Ndugu privacy, Muda tayari umetoa majibu, Rejea Comment #46 (hapo juu) imethibitisha nilichosema kwamba tracking number ukianza na TZ000, bila kujali ni chaguo gani la usafirishaji ulichagua, mzigo wako utaletwa na SPEEDAF.

Hivyo, jipe nafasi ya kujifunza kutoka kwa wengine, hata kama hoja zao zinakinzana na kile unachofikiria au unachokijua kinadharia.

Kumbuka kwamba majibu mengi ninayotoa hapa jukwaani hutokana na uzoefu wa hali halisi na sio nadharia za kufikirika.

Mkuu samahani nimeku PM
 
Back
Top Bottom