Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

Kwa experience yangu ndogo nilikua nikiagiza mizigo ikaja na Cainiao super Economy global, ilikua inachukua mpaka 2 months vipi hawa speedaf kwa hiyo hiyo kama ya mleta mada hapo juu, au vipi experience yako na hawa jamaa.
Speedaf ndio cainiao, mizigo inachukua maximum wiki 2 inakuwa imefika Tanzania, changamoto inaanzia hapa Tanzania, wakala wao ndio wanachelewesha kusambaza mizigo. Utakuta mzigo una zaidi ya wiki 1 upo Tanzania ila mteja hujapigiwa ukaupokee, kwa hiyo unasubiria mpaka upigiwe. Mimi nilishachukua namba ya wakala wa eneo langu, kwa hiyo mzigo nikiutrack na kuona umefika, nampigia kumuuliza kama ameshauchukua ananiambia nikauchukue. Speedaf wako bomba kuwahi kusafirisha mizigo kutoka China mpaka Tanzania, sema changamoto kidogo ipo kwa hawa mawakala wa Tanzania.
 
Hapana unachanganya watu..!! Speedaf wao ni kwenye standard shipping sio hiyo super economy aliyochagua huyu mwenye post
 
Tracking number ikianza na TZ000
View attachment 2538050
- Tambua mzigo unapita mikononi mwa speedaf.

Baada ya wiki mbili angalia update ya mzigo wako, utaona mahala umefikia.

Naomba leo nipingane na wewe japo ndio mambo yako haya ya mtandaoni ila kuna wakati yawezekana unapitiwa. Speedaf kwenye aliexpress inatumika kama standard shipping method kuja huku kwetu pia alibaba. Ila si kwamba zote zinazoanzwa na Tz….. kwamba carrier ni SpeedAf.
Turudi kwenye post hapo mdau juu unaona kabisa amechagua Super Economy nadhani sababu ya kupunguza gharama na hicho kitamcost. Bure ghali Inabidi tu asubiri mpaka hiyo May[emoji23] kama hatopigiwa maana njia aliyochagua hata tracking haina hawezi kujua mzigo umeshatoka. Upo warehouse ama wapi. Na hizi kupotea huwa ni ipo na hutojua nani wa kumlaumu.
 
- Muda ni msema kweli, Tusubirie wiki mbili, muuliza swali ataweka update. Sina cha kuongeza kwa sasa.
 
Wakuu kweli baada ya wiki mbili nimepewa status hizo hapoView attachment 2553258View attachment 2553257
Screenshot_20230316-064835.jpg
 
- Muda ni msema kweli, Tusubirie wiki mbili, muuliza swali ataweka update. Sina cha kuongeza kwa sasa.
mkuu samahani na pole na majukumu, hivi nawezaje kuship mzigo kutoka Alibaba bila kutumia usafiri wao, make usafiri wao umesimama vibaya
Na je mtu anaweza tumia meli kweli, kwa kupitia alibaba.
 
Ila hapo kwenye jina la shipper speedaf hajaandikwa hii imekaaje?
Kama Ni SpeedAf wanao ship wakiupata tuu wanakutaarifu kwa Email.
Mwanzo wa week niliagiza SSD naona ishaondoka kuja TZ. Naona wako Speed kama wanavyojiita.
 
Attachments

  • Speed Af.png
    Speed Af.png
    13.7 KB · Views: 68
Mnatuchanganya sasa. Kuna thread ilianzishwa humu na ililenga kutuzuia watu tusitumie Speed Af kwa sababu kuna wizi unaofanyika mzigo ukiingia Tanzania
Lakini hii thread inaonesha Speed Af ni njia salama ya kusafirisha mzigo wako, Sasa which is which [emoji848][emoji848]
 
mzigo wangu uko njiani na unakuja na speedaf ukifika nitakupa feedback which is which.
NB: nimeagiza makusudi tu niwatest hao speedaf nione.
 
Mnatuchanganya sasa. Kuna thread ilianzishwa humu na ililenga kutuzuia watu tusitumie Speed Af kwa sababu kuna wizi unaofanyika mzigo ukiingia Tanzania
Lakini hii thread inaonesha Speed Af ni njia salama ya kusafirisha mzigo wako, Sasa which is which [emoji848][emoji848]
Za kuambiwa changanya na za kwako - Jakaya Mrisho Kikwete wa Msoga
 
Back
Top Bottom