Wana watu wanawaita "Raiders" hawa ni kwa ajili ya ku deliver mizigo kwenye Street addresses . Wapo hadi mikoani ila bado wanahutaji sana kuboreshwa hawapo makini .Mkuu hawa speedaf Kwa Sisi wa mikoani wanamawakala?
Au ni Kwa Dar Tu?
Ni mazingira tu yaani kitu kitoke china Hadi tz Bure Hadi mkoani Bure then Hadi wilayani bure mim ninavyo jua free shipping Hadi destination yaani mkoani huko kwingine ni either ufuate au akutumieMshamba mie au weye unayelipishwa wakati kitu ni bure ?
Kuwa na lugha za staha unapotaka kuelimika bro !!
Hawa jamaa niwajue mwezi wa pili mwaka huu napokea mizigo kibao na sijawahi kutoa hafa mia !! hata kama mzigo utaletwa nyumbani ninapoishi huwa ni free service.
Sio bure per say hivi vitu shipping uliyolipia wakati unanunua bidhaa ni hiyo hiyo itatumika kululetea mzigo hadi ulipo .YYa
Ni mazingira tu yaani kitu kitoke china Hadi tz Bure Hadi mkoani Bure then Hadi wilayani bure mim ninavyo jua free shipping Hadi destination yaani mkoani huko kwingine ni either ufuate au akutumie
Hawa speed ninawapataje huku Ali express?Sio bure per say hivi vitu shipping uliyolipia wakati unanunua bidhaa ni hiyo hiyo itatumika kululetea mzigo hadi ulipo .
Kwa speedaf kama ulilipa economy shipping ambayo wengi tunaitumia , tracking status ya mzigo inaishia main office, ila kama ulilipa premium shipping unapata updates hadi mzigo utakapofika nyumbani kwako.
Kwa sasa mizigo mingi ya AliExpress default shipper kwa sasa ni hao speedaf. Hapo zamani walikuwa wanaship kupitia Singapore post .
Samahan naomba kufahamu MFANO mzigo ukafika hizo wiki mbili posta kwa speedaf.....ww haupatikani(Bush upoo tufanye)Tracking number ikianza na TZ000
View attachment 2538050
- Tambua mzigo unapita mikononi mwa speedaf.
Baada ya wiki mbili angalia update ya mzigo wako, utaona mahala umefikia.
Je umekuja kwa njia ipi?1.Mzigo wangu nitaukuta posta??
Mzigo umekuja kwa njia ya speedaf ....ila address niliweka ya postaJe umekuja kwa njia ipi?
Je ni kwa njia ya Posta? au
Kwa kuwatumia Speedaf?
Jibu utalipata kulinana na tracking number uliyonayo.
=
Posta hawahusiki na mizigo inayosafirishwa na Speedaf.
-Wasiliana na speedaf, na sio posta.Mzigo umekuja kwa njia ya speedaf ....ila address niliweka ya posta
Asante mkuu maana nilidhani ni posta ndio muhusika.....-Wasiliana na speedaf, na sio posta.
Tangu speedaf aingie nchini, mizigo yangu inaletwa na speedaf,Asante mkuu maana nilidhani ni posta ndio muhusika.....
Asante kwa muda wako pia
Kwa hio ni kumpigia tu alieleta mzigo(Namba zipo nnapotrack pale)Tangu speedaf aingie nchini, mizigo yangu inaletwa na speedaf,
Na sijabadili anwani, Natumia anwani ile ile ya posta.
1. Piga simuKwa hio ni kumpigia tu alieleta mzigo(Namba zipo nnapotrack pale)
Yeye atanipa direction ya ofisi zao kwa mantiki hio
1. Piga simu
2. Mpe tracking namba
3. Mkubaliane nini kifanyike.
(Angalizo: Muda mzuri wa kuwapiga simu iwe mapema kabla ya saa 3 asubuhi, Sababu muda huo wanakuwa bado hawajatoka kwenye ofisi zao kwenda mtaani kusambaza mizigo
Hakuna gharama yeyote.Namaanisha kuna gharama za kulipia mzigo ukiupokea ??
sisi wa mikoani tunapigwa kati ya 1500-3000/=Hakuna gharama yeyote.
Mkuu wewe ukiagiza alibaba unamtumia msafirishaji gani?Hakuna gharama yeyote.
Mkuu tracking number yangu niJe umekuja kwa njia ipi?
Je ni kwa njia ya Posta? au
Kwa kuwatumia Speedaf?
Jibu utalipata kulinana na tracking number uliyonayo.
=
Posta hawahusiki na mizigo inayosafirishwa na Speedaf.
Je umewahi pokea shipment update kwenye email yako toka speedaf?UV717644763UZ
Naomba nifafanulie ni posta ama speedaf