Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

YYa
Mshamba mie au weye unayelipishwa wakati kitu ni bure ?
Kuwa na lugha za staha unapotaka kuelimika bro !!
Hawa jamaa niwajue mwezi wa pili mwaka huu napokea mizigo kibao na sijawahi kutoa hafa mia !! hata kama mzigo utaletwa nyumbani ninapoishi huwa ni free service.
Ni mazingira tu yaani kitu kitoke china Hadi tz Bure Hadi mkoani Bure then Hadi wilayani bure mim ninavyo jua free shipping Hadi destination yaani mkoani huko kwingine ni either ufuate au akutumie
 
YYa

Ni mazingira tu yaani kitu kitoke china Hadi tz Bure Hadi mkoani Bure then Hadi wilayani bure mim ninavyo jua free shipping Hadi destination yaani mkoani huko kwingine ni either ufuate au akutumie
Sio bure per say hivi vitu shipping uliyolipia wakati unanunua bidhaa ni hiyo hiyo itatumika kululetea mzigo hadi ulipo .
Kwa speedaf kama ulilipa economy shipping ambayo wengi tunaitumia , tracking status ya mzigo inaishia main office, ila kama ulilipa premium shipping unapata updates hadi mzigo utakapofika nyumbani kwako.
 
Hawa speed ninawapataje huku Ali express?

Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
 
Tracking number ikianza na TZ000
View attachment 2538050
- Tambua mzigo unapita mikononi mwa speedaf.

Baada ya wiki mbili angalia update ya mzigo wako, utaona mahala umefikia.
Samahan naomba kufahamu MFANO mzigo ukafika hizo wiki mbili posta kwa speedaf.....ww haupatikani(Bush upoo tufanye)

Ukadhani utachukua miezi miwili kama walivokwambia ... Maswali yangu ni
1.Mzigo wangu nitaukuta posta??
2.Au kuna muda maalumu wa mzigo kukaa asipotokea muhusika unataifishwa???
 
Je umekuja kwa njia ipi?

Je ni kwa njia ya Posta? au

Kwa kuwatumia Speedaf?

Jibu utalipata kulinana na tracking number uliyonayo.
=
Posta hawahusiki na mizigo inayosafirishwa na Speedaf.
Mzigo umekuja kwa njia ya speedaf ....ila address niliweka ya posta
 
Asante mkuu maana nilidhani ni posta ndio muhusika.....

Asante kwa muda wako pia
Tangu speedaf aingie nchini, mizigo yangu inaletwa na speedaf,

Na sijabadili anwani, Natumia anwani ile ile ya posta.

Speedaf kitu muhimu kwao ni namba ya simu ya mwenye mzigo, Wanakupigia au wewe unawapigia ukiona kimpya kwa siku 2 au 3 tangu mzigo wako uonekane tayari uko nchini, Baada ya kuwapigia kuna mawili 1/ Wakuletee au 2/Ufuate kwenye ofisi zao
 
Tangu speedaf aingie nchini, mizigo yangu inaletwa na speedaf,

Na sijabadili anwani, Natumia anwani ile ile ya posta.
Kwa hio ni kumpigia tu alieleta mzigo(Namba zipo nnapotrack pale)

Yeye atanipa direction ya ofisi zao kwa mantiki hio
 
Kwa hio ni kumpigia tu alieleta mzigo(Namba zipo nnapotrack pale)

Yeye atanipa direction ya ofisi zao kwa mantiki hio
1. Piga simu
2. Mpe tracking namba
3. Mkubaliane nini kifanyike.

(Angalizo: Muda mzuri wa kuwapigia simu iwe mapema kabla ya saa 3 asubuhi, Sababu muda huo wanakuwa bado hawajatoka kwenye ofisi zao kwenda mtaani kusambaza mizigo)
 
Sawa sawa ...na vipi kuhusu swala la gharama za mzigo zipojeh??
Namaanisha kuna gharama za kulipia mzigo ukiupokea ??
1. Piga simu
2. Mpe tracking namba
3. Mkubaliane nini kifanyike.

(Angalizo: Muda mzuri wa kuwapiga simu iwe mapema kabla ya saa 3 asubuhi, Sababu muda huo wanakuwa bado hawajatoka kwenye ofisi zao kwenda mtaani kusambaza mizigo
 
Je umekuja kwa njia ipi?

Je ni kwa njia ya Posta? au

Kwa kuwatumia Speedaf?

Jibu utalipata kulinana na tracking number uliyonayo.
=
Posta hawahusiki na mizigo inayosafirishwa na Speedaf.
Mkuu tracking number yangu ni

UV717644763UZ

Naomba nifafanulie ni posta ama speedaf
 
Back
Top Bottom