Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

Je umewahi pokea shipment update kwenye email yako toka speedaf?

Kama jibu ni hapana, Basi tambua ni njia ya Posta.
Kama unavyoona hapo mkuu sa sijajua ni posta au speedaf hao
Screenshot_20231027-091053.jpg
Screenshot_20231027-101322.jpg
 
Wakuu nimeagiza mizigo kama mitano hivi sema inakuja Kwa njia tofouti minne inakuja na caniao super economy japo ni mmoja tu ndio code number yake ndio imeanza na TZ ila mingine ni LP na mmoja ni unakujana Singapore post. Kwa uzoefu wangu wa kikuu nilikua yote itaunganishwa lakini kumbe mambo si hivyo. So mwenye uzoefu tusaidiane tafadhali.
 
Nazungumzia Notifications kwenye email yako, sio kupitia tracking website, hiyo screenshot uliyoweka

Zingatia
  • Notifications za speedaf tunapata katika email
  • Pia waweza track kupitia website yao speedaf
  • Na namba ya mzigo speedaf huwa hivi: TZ000
Nimekuelewa boss ila

Notifications sipati nadhani ni posta
 
Wakuu naomba nitoe experience yangu kidogo juu ya speedaf na caniao shipping. Wakuu mm naona unapata mizigo Kwa speedaf kama umetoka china pekee maana niliaagiza minne ambayo caniao ndio wakawa wasafirishaji Sasa speedaf imeleta ule wa china pekee huku hiyo mingine imekuja Kwa posta na imeandikwa imetokea Uzbekistan hafu inasemekana hao speedaf china ndio headquarters Kwa hiyo wanaship kutoka china kwenda maeneo mengine.
 
Uzbekistan ni transit country mkuu ni kawaida sana, ungebandua ile karatasi ya juu ndo ungeina ya kutoka china.
Vipi ile mizigo yako ya posta ulipata lini make mi bado hadi nakata tamaa, mwezi na zaidi
 
Wa mwisho nimeupata mwezi wa kwanza
 
Wakuu Ninaharaka sana na mzigo mnapokeaje kupitia speedaf maana nimeskia wao ni wiki mbili ila Kwa Hawa na wanaoship ni two month.
hapo huwa uanajaza namna yako ya simu mtaaa na sehem unayo ishi kwaiyo mzigo ukiwa umefikabongo kwenye app yako watakujilisha umefika .kwaiyo unaweza kupokea simu sikuyoyote ile ila hazidi siku tatu ila kwa unataka kwenda officen kwao wapo migombani road pale njia ya kwa kikwete mikocheni pale
 
Back
Top Bottom