Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Kama unavyoona hapo mkuu sa sijajua ni posta au speedaf haoJe umewahi pokea shipment update kwenye email yako toka speedaf?
Kama jibu ni hapana, Basi tambua ni njia ya Posta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unavyoona hapo mkuu sa sijajua ni posta au speedaf haoJe umewahi pokea shipment update kwenye email yako toka speedaf?
Kama jibu ni hapana, Basi tambua ni njia ya Posta.
Nazungumzia Notifications kwenye email yako, sio kupitia tracking website, hiyo screenshot uliyowekaKama unavyoona hapo mkuu sa sijajua ni posta au speedaf haoView attachment 2797599View attachment 2797600
Zingatia---
![]()
---
Nimekuelewa boss ilaNazungumzia Notifications kwenye email yako, sio kupitia tracking website, hiyo screenshot uliyoweka
Zingatia
- Notifications za speedaf tunapata katika email
- Pia waweza track kupitia website yao speedaf
- Na namba ya mzigo speedaf huwa hivi: TZ000
Mungu wa mbinguni azidi kukubariki sana ndugu yanguNdio, mtumie ujumbe muuzaji, na mweleze hitaji lako, akikubali ndipo fanya manunuzi (malipo).
Uzbekistan ni transit country mkuu ni kawaida sana, ungebandua ile karatasi ya juu ndo ungeina ya kutoka china.Wakuu naomba nitoe experience yangu kidogo juu ya speedaf na caniao shipping. Wakuu mm naona unapata mizigo Kwa speedaf kama umetoka china pekee maana niliaagiza minne ambayo caniao ndio wakawa wasafirishaji Sasa speedaf imeleta ule wa china pekee huku hiyo mingine imekuja Kwa posta na imeandikwa imetokea Uzbekistan hafu inasemekana hao speedaf china ndio headquarters Kwa hiyo wanaship kutoka china kwenda maeneo mengine.
Vipi ulifanikiwa kupata huu mzigo?Ila kuna mzigo wangu mwingine umekwama hapo tangu tarehe moja inasoma last mile exception
Nilienda ofisini kwao wakasema mzigo umepotea
Kwenye app ya Aliexpress inasema mzigo upo customs ya Tanzania
Nipeni muongozo kwa yoyote aliyewahi kupitia kitu kama hichiView attachment 2557154
Wa mwisho nimeupata mwezi wa kwanzaUzbekistan ni transit country mkuu ni kawaida sana, ungebandua ile karatasi ya juu ndo ungeina ya kutoka china.
Vipi ile mizigo yako ya posta ulipata lini make mi bado hadi nakata tamaa, mwezi na zaidi
hapo huwa uanajaza namna yako ya simu mtaaa na sehem unayo ishi kwaiyo mzigo ukiwa umefikabongo kwenye app yako watakujilisha umefika .kwaiyo unaweza kupokea simu sikuyoyote ile ila hazidi siku tatu ila kwa unataka kwenda officen kwao wapo migombani road pale njia ya kwa kikwete mikocheni paleWakuu Ninaharaka sana na mzigo mnapokeaje kupitia speedaf maana nimeskia wao ni wiki mbili ila Kwa Hawa na wanaoship ni two month.