Mnapomuita Magufuli baba wa Taifa, mnakuwa mnamaanisha nini?

Kuna watu wanajisahaulisha sana utadhani tanzania ndo imepata uhuru miaka angalau sita ilopita. Mambo ya ajabu sana.
 
Tunamanisha tunavyomanisha
 
Walisha zoea kusifu na kutukuza 'they have been brain washed'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…