Mnapomuita Magufuli baba wa Taifa, mnakuwa mnamaanisha nini?

Mnapomuita Magufuli baba wa Taifa, mnakuwa mnamaanisha nini?

Mbona mnateseka sana jamani? Hayati JPM ni shujaa wa Afrika. Hukuwasikio hotuba za Maraisi na viongozi wa AU, SADEC na EAC siku ya kumuaga JPM kitaifa pale Dodoma?
Wengi Wanao Jifanya Kulia Lia eti Shujaa Wa Chato alikua ni Mtetezi wa Wanyonge. Wengi Wao ni Watu wenye Roho za Kimasikini waliokua Wakishangilia Matajiri wakiporwa Mali zao na Kumbikiwa Kesi za Ukwepaji Kodi. Walitamani Matajir Waish kama Maisha Wanayoish wao Roho za Kimasikin
 
Kwakua yeye alikua muasisi wa nchi ya uchumi wa kati bali mwlm nyerer alikuwa muasisi wa uhuru kutoka kwa mkolon
 
Bwana chato ni Baba wa Taifa wa:

1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.

2.Kuteka wapinzani pamoja na wakosoaji wake kama akina Azory Gwanda ili yeye ajihakikishie kutawala milele.

3. Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku kwa kesi fake ambazo hazina dhamana.

4. Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5. Kuua uhuru wa vyombo vya habari.

6. Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.

7. Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.

8. Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9. Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10. Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11. Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12. Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Udini:Alipenda sana kwenda kunadi sera zake za kisiasa makanisani.

14. Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15. Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.

16. Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?

17. Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18. Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19. Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20. Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.

21. Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.

22. Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.

23 Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.

24. Ufisadi na wizi wa kutisha wa 1.5 trilioni kama ulivyoibuliwa na CAG profesa assad.Tokea uhuru hakuna Rais ambae amewahi kufanya ufisadi wa kutisha kiasi hiki.

25.Kuua wakosoaji wake pamoja na wapinzani wake kisha maiti zao kutupwa mitoni na kwenye fukwe za bahari maiti zao zikiwa kwenye viroba.

Huyu mtu kaburi lake linapaswa kufukuliwa na atandikwe viboko
 
Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini?
  • Je, Taifa Lina mababa wawili?
  • Je, Nyerere kawa babu wa Taifa?
  • Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu?
Naombeni tusaidiane majawabu

Kwenye list watakuwamo hawa:

Sabaya, kondakta, Kingai, Mahita, Msemwa, Goodluck, Jumanne, na wenzao.

Ikiwapendeza watatoa majibu japo kwa kuchelewa sana 😁😁.
 
Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini?
  • Je, Taifa Lina mababa wawili?
  • Je, Nyerere kawa babu wa Taifa?
  • Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu?
Naombeni tusaidiane majawabu
Magufuli hawezi kuwa na sifa ya kuitwa Baba wa Taifa. Alikosa maono ya kiuongozi pia alipungukiwa uvumilivu mwingi ambao ni sifa ya mlezi wa Taifa.
 
Naona Magufuli aligusa wizi wenu ndo hamuishi mabandiko hapa JF yanayomhusu Magufuli
 
Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini?
  • Je, Taifa Lina mababa wawili?
  • Je, Nyerere kawa babu wa Taifa?
  • Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu?
Naombeni tusaidiane majawabu
Anajifurahisha uchumia tumbo huo Ila usishangae hiyo kuliko lile la kusema JPM ni mungu hadharani na hakuna aliyekemea
 
Anajifurahisha uchumia tumbo huo Ila usishangae hiyo kuliko lile la kusema JPM ni mungu hadharani na hakuna aliyekemea
Screenshot_20211202-111224_Chrome.jpg
 
Magufuli hawezi kuwa na sifa ya kuitwa Baba wa Taifa. Alikosa maono ya kiuongozi pia alipungukiwa uvumilivu mwingi ambao ni sifa ya mlezi wa Taifa.
Uvumilivu kwenye mambo ya kijinga hata Bwana Yesu hakuuvumilia alipindua meza na kuwatimua wachuuzi kwenye nyumba ya Ibada.
 
Ni kweli Wana haki ya kumuita ivyo katutangaza kimataifa Sana maana kidogo amfikie hadolf alikuwa anapenda Sana kuona damu
 
Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini?
  • Je, Taifa Lina mababa wawili?
  • Je, Nyerere kawa babu wa Taifa?
  • Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu?
Naombeni tusaidiane majawabu
Mkuu wanamuita baba wa Taifa KWa kutuachia deni la taifa nyongeza ya tir,40 na ndani yamiaka 5,
 
Back
Top Bottom