Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Boya wangu aliagiza 3 baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ni day one.
Unajua kuna falla anakujua kiundani yuko huru kwako kwa day one huko ni kuchemsha hata kama uko na mzungu

Kweli kila kitu kinatakiwa kuwe na kiasi hata kama unaona mtu ana pesa
 
Boya wangu aliagiza 3 baba🤣🤣🤣
Na ni day one.
Unajua kuna falla anakujua kiundani yuko huru kwako kwa day one huko ni kuchemsha hata kama uko na mzungu
Haha, mkuu pole. Wengine tumekutana na watu wenye kujielewa kichwani. Kwangu hilo halijawahi kutokea.
 
Eeh sio ile miyeyusho ya kuagiza vitu ghali kwa misifa, unless otherwise ulipie vinywaji straight away.
Niamini.
NI washamba ndio hufanya hivyo ili waonekane nao wajanja kumbe wanaharibu.
Binti mjanja day one huplay low key akikusoma.
Mcharu huwa unajirukia tu
 
Utani tu kufurahisha genge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiyakuze this week nina meet na mtu kutoka humu tajiri mkubwa sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] piliziiiii
Una meet na don sio
Sa ikatoke Don akajikuta amemispalce Kadi hutalipa? Au utajisahaulisha Kadi?
 
Boya wangu aliagiza 3 baba🤣🤣🤣
Na ni day one.
Unajua kuna falla anakujua kiundani yuko huru kwako kwa day one huko ni kuchemsha hata kama uko na mzungu
Henny 3 like WTF mane😀?! Kulikua na sherehe au dah!
 
Una meet na don sio
Sa ikatoke Don akajikuta amemispalce Kadi hutalipa? Au utajisahaulisha Kadi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] swali la mtegi sitokujibu unataka nipotezea meetingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na usipo mchangia anakasirika
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] swali la mtegi sitokujibu unataka nipotezea meetingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asee hakuna raha kama mwanamke nawe ufanye clearance ya bill...ina raha yake
 
Mkuu hapo ulipo najua una pesa.
Unaonaje umwalike mtu lkn akija achukue BUMBU RUM 3@110,000=330,000
Hivyo ni vinywaji tu ni sawa?

Tuongee uhalisia tusijifiche nyuma ya keyboard😂😂😂😂😂
Tuendelee hapo hapo kwenye uhalisia..!! Unamualika mtu kwa Mangi grocery, hayo makolokocho ya laki laki yapo? Maana ukimualika Kempisk lazima wewe mualikaje ujue bei za vinywaji au vyakula katika eneo unalomualika.

Kifupi, ukimtoa mtu out, limit iwe eneo unalomtolea. Huwezi agiza serengeti Lager ya 2,000/- halafu savanah ya 5,000/- uje ulie lie huku JF.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kwahio unampinga tajiri, kama hutumii BALIMI agiza hata Dasani basi utulie 🤣🤣🤣🤣
 
Boya wangu aliagiza 3 baba🤣🤣🤣
Na ni day one.
Unajua kuna falla anakujua kiundani yuko huru kwako kwa day one huko ni kuchemsha hata kama uko na mzungu
Pole aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…