Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Naagiza chochote ninachotaka tusipangiane tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utalipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naagiza chochote ninachotaka tusipangiane tafadhali
Sio ntafute hela?Una asili ya uchoyo au kwa lugha nzuri ubahilii
Kila mara jf huwa nasisitiza wanaume tuchague wanawake wenye akili unafikiri huwa natania?.Hakuwa na aibu 😂😂😂
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Jamaa alijimix hapa Dar kama mgeni wa maeneo acha mbwembwe. Kuna viwanja kadhaa ukiingia kukata 3M ni kawaida kwa starehe ya usiku mmoja tu.Mimi huwa sikoseagi hapo kwenye agiza chchote
Kuna rafiki yangu alikuja dar tulikuwa tumesoma wote alikuwa kapata ajira sasa akawa anatafuta sehemu ya kufurahi nikamwambia ww una pesa akasema nishalipwa zile hela za kuazia maisha zile
Nikamwambia poa nikampeleka karambezi ase alifurahi hila alioa 2ook inakatika kwa chakula na vinywaji tu akasema tukimaliza hapa tuondoke nikamuuliza unataka pengine au akasema ndio
Nikampeleka soweto napoa akanona hela inapukutika akaomba msaada nilipie nikamwambia mimi kadi nimesahau wewe lipa tu akalipa kesho yake morng anaomba nimkopesha 10000 ya nauli nikamwambia mimi sina nipo mweupeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣 IMEJINI YANI JUST IMEJINIIIKila mara jf huwa nasisitiza wanaume tuchague wanawake wenye akili unafikiri huwa natania?.
Kuna pisi mkikutana tu na kujumuika chakula anaanza kukuita mume na kuanza kukudhibiti..imejini ni day 1.
Hiyo hiyo day one anakueleza shida zake zoote.
1. Mama mgonjwa
2. Kodi ya nyumba
3. Gas imeisha
4. Kesho kutwa birthday yangu nataka 1m.
Yaani nilichoka na huu ni uhalisia.
Lisaa limoja na nusu nilipewa bajeti ya 1.6m.
Sijamtingoza na sikuwa na mpango.
Dejane hebu niambie nilikutana na pepo au nini?
Note: kuomba sio dhambi bali timing ni muhimu.
We falla uje Ar nikupeleke TUMBILI🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Jamaa alijimix hapa Dar kama mgeni wa maeneo acha mbwembwe. Kuna viwanja kadhaa ukiingia kukata 3M ni kawaida kwa starehe ya usiku mmoja tu.
Sasa we mtu katoka malinyi unampeleka Karambezi kweli 😀???
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 IMEJINI YANI JUST IMEJINIII
Kuna mambo ya kuzingatia unapotoka out na mtu.
1. Umealikwa au umealika? Unaalika mtu then unataka yeye ndio afanye ku-clear bills?
2. Kama ni mtu wako kuwa wazi kwake, kwani shida gani kumwambia gf wako leo siko poa sana, kama yupo after your pocket ndio itajulikana.
3. Usitoke out bila pesa, uwe umealikwa au umealika. Hapa mjini unaweza kuadhirika vibaya.
4. Kama umealikwa kuwa muungwana, kuna mtu anakualika sio kwa vile ana pesa siku hiyo, huenda he/she is missing you, anatamani mkae mahali muongee na kula/kunywa kidogo. Sasa mwenzangu unakuwa na uroho wa kula na kunywa vya gharama.
5. Wale mnaopenda 50/50 basi huo ndio wakati wenu, unasikia "nitalipia vinywaji, wewe lipia misosi".
Mambo ni mengi.
Nitalipa. Na aibu ataona yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utalipa
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Jamaa alijimix hapa Dar kama mgeni wa maeneo acha mbwembwe. Kuna viwanja kadhaa ukiingia kukata 3M ni kawaida kwa starehe ya usiku mmoja tu.
Sasa we mtu katoka malinyi unampeleka Karambezi kweli [emoji3]???
Zile sumu usizozipenda kuskia... imejini🤣 IMEJINI YANI JUST IMEJINIII
Dogo kakuona fisadi nini au una body la Joseph Magufuli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Imejini yasni imejini kaka mkubwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama una roho ya kimaskini kama hii, usipende kutoa ofa kabisa. Utakuja aibika ushangae.Yani mtu umemtoa Lunch au Dinner muwe mnaangalia kwanza mwenyewe kaagiza nini.
Tena jinsia ya KE ndio kabisa huko siwezi kuwazungumiza tujumuishe wote.
Yani ni metoa jamaa tendwe tukapate supu anaona mimi naagiza makongoro ya ng'ombe yeye anaagiza mchemsho wa kuku tena kidali. Kwa nini usisubiri kusikia muhusika kwanza.
Kuna wengine umeagiza chakula cha kawaida yeye anaagiza kushinda wewe.
Tuheshimiane tutakwepana: Jana nampa mtu ofa chukua bia anaona nakunywa balimi yeye anataka windock tena anabugia kwa sifa.
Ungemtoa mwenzako af 10 bwana..si mlienjoy wote??Mimi huwa sikoseagi hapo kwenye agiza chchote
Kuna rafiki yangu alikuja dar tulikuwa tumesoma wote alikuwa kapata ajira sasa akawa anatafuta sehemu ya kufurahi nikamwambia ww una pesa akasema nishalipwa zile hela za kuazia maisha zile
Nikamwambia poa nikampeleka karambezi ase alifurahi hila alioa 2ook inakatika kwa chakula na vinywaji tu akasema tukimaliza hapa tuondoke nikamuuliza unataka pengine au akasema ndio
Nikampeleka soweto napoa akanona hela inapukutika akaomba msaada nilipie nikamwambia mimi kadi nimesahau wewe lipa tu akalipa kesho yake morng anaomba nimkopesha 10000 ya nauli nikamwambia mimi sina nipo mweupeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahah angefurahi, maana Exit plan ziko sebleni tu. Ni ku place tu then nakacha scene.🤣🤣🤣Zile sumu usizozipenda kuskia... imejini
Wewe ungetoroka kabisa
Bro mimi mr. Slim kama avatar ilivyo a.k.a KagameDogo kakuona fisadi nini au una body la Joseph Magufuli 🤣
Angepelekwa kwa manager akadeki vyoo 🤣🤣🤣🤣 me nkitembea na muamala mnaniona nna kibri...aibu hizi nani anataka.Hahahahah angefurahi, maana Exit plan ziko sebleni tu. Ni ku place tu then nakacha scene.🤣🤣🤣
Ungemtoa mwenzako af 10 bwana..si mlienjoy wote??