Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Huyu jamaa huwa namsoma sana misimamo yake.... halafu si ameoa juzi juzi huyu?
Asante sana kwa kuelewa, huwa watu wengi wana mis interpretigi hilo swala na kuhisi huenda napenda slide show 🤣🤣🤣
 
Hujaona hoja hata moja mkuu?
Jamaa kaongea vizuri mkuu.
Ukialikwa chukua tahadhari usijiachie sana.

Yesu alisema ukilikwa karamuni kaa viti vya nyuma...subiri uletwe viti vya mbele.

Lengo ni nini?.
Ikiwa nimekualika halafu ukaagiza chakula cha bei ndogo labda kwa uoga...mimi niliyekualika nitakwambia chukua hata kuku mzima na wine.

Na kama siko poa hicho hicho cha bei ya kawaida nitakuacha uendelee nacho.

Mimi niliwahi kumtoa mtu out aliagiza vinywaji na chakula jumla 300k.
Je kama ningekuwa mchovu unafikiri ingekuwaje?
Vitu vya laki tatu peke yake?alikuwa demu wako ?tuanzie hapo alikunywa nin na kula nin na mlikuwa hotel gani?
 
Hahahah hio kauli ya msikilize lazma iwe backed up na kadi ya ATM ambayo inq zaidi ya 1M incase unaenda viwanja vya ushuani.

Ila kama ni maeneo yetu ya uswahilini haya sijui kitambaa cheupe and shyt huko hata ka laki 4 kanatosha kuvimba.

[emoji23][emoji23][emoji23] watu wanachukulua poa sana
 
Ukishaamua kutoa ofa inatakiwa mfuko wako uwe umenona ili kuyaepusha haya malalamiko.
 
Vitu vya laki tatu peke yake?alikuwa demu wako ?tuanzie hapo alikunywa nin na kula nin na mlikuwa hotel gani?
Hakuwa dem wangu.
Ulikuwa mwaliko wa kwanza na alitamani tufahamiane ....tulikuwa na group flani na tulikuwa tunajiandaa kusafiri wote kwenda nchi flani watu kama 9 hivi.

Umeshtuko bei hiyo?
Mbona hotelini sio ya kutisha?
Nikitaja hotel ni utambulisho tosha...no
 
Hakuwa na aibu 😂😂😂
 
Hapo kinachotakiwa ni mtu mwenyewe kujitambua. Mwenye akili hakosei, akikosea baasi hakukuwa na namna.
Kingine kikubwa ni 'Kujishtukia'. Ukiwa na uwezo wa kujishtukia hapa mjini utaishi na watu.
 
Hakuwa dem wangu.
Ulikuwa mwaliko wa kwanza na alitamani tufahamiane ....tulikuwa na group flani na tulikuwa tunajiandaa kusafiri wote kwenda nchi flani watu kama 9 hivi.

Umeshtuko bei hiyo?
Mbona hotelini sio ya kutisha?
Nikitaja hotel ni utambulisho tosha...no
Sema hio intro lazma alikufa mtu kule Norway 😀
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Agiza chochote huku mwamba anakukadiria umalizi elfu 20! Picha linaanza ameita bucket ya Heineken baridi.

Mimi huwa sikoseagi hapo kwenye agiza chchote

Kuna rafiki yangu alikuja dar tulikuwa tumesoma wote alikuwa kapata ajira sasa akawa anatafuta sehemu ya kufurahi nikamwambia ww una pesa akasema nishalipwa zile hela za kuazia maisha zile

Nikamwambia poa nikampeleka karambezi ase alifurahi hila alioa 2ook inakatika kwa chakula na vinywaji tu akasema tukimaliza hapa tuondoke nikamuuliza unataka pengine au akasema ndio

Nikampeleka soweto napoa akanona hela inapukutika akaomba msaada nilipie nikamwambia mimi kadi nimesahau wewe lipa tu akalipa kesho yake morng anaomba nimkopesha 10000 ya nauli nikamwambia mimi sina nipo mweupeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom