Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

UKIONA MIFUKO IMELEPWETA USITOE OFA!
UJIPENDEKEZE MWENYEWE NA MISIFA YAKO HALAFU UJE JF UTUANZISHIE MADA!
🤣🤣🤣.Kuna mtoa ofa za misifa mwingine chupuchupu aibike
Mfukoni ana senti halafu anatamba kutoa ofa na mikauli mizitooo "AGIZENI CHOCHOTE"
Tumeagiza potion za seafood 2 na maji lita 1.5 tu jasho zikaanza mmwagika.
Hivi mnalazimishwa kutoa watu out na huku mifuko imenuna??
 
Uliza wanaonijua kwa kina, nikiamua kumdiss mtu huwa nahakikisha namvunjia heshima
Sawa vunja hiyo heshima Mimi nikutawanye kama fimbo ya Musa ngik lesiu loata njelele kumok , shipina lesiu , narubumenyee shomo oldia lesiu Miata onyoo kake itolimu marange waade shomo nguri esakutoni or 2023 shomo ngik kumuk eing'uk
 
Sawa vunja hiyo heshima Mimi nikutawanye kama fimbo ya Musa ngik lesiu loata njelele kumok , shipina lesiu , narubumenyee shomo oldia lesiu Miata onyoo kake itolimu marange waade shomo nguri esakutoni or 2023 shomo ngik kumuk eing'uk
Maneno yangu daily ni hazina, so siwezi yatawanya pasipo na ulazima
 
Malimbukeni ndio zesheni sana! Kila siku jitu linakunywa mirinda unalipa offer linaenda agiza desperado na lina bwia mpaka lina tapika , sio uharibifu huo
 
Glenn namjua miaka 6 sasa nje ya jf kwa kweli ni rafiki mzuriii sana[emoji1635][emoji1787][emoji1787]
Swala la ngono akikutaka ye kama mwanaume lazima atake....lkn halazimishi kama hutaki hawezi kuacha kua rafiki yako sabbu umemkatalia..sema ana marafiki wa kike wengiiiii[emoji1787][emoji1787].nkajuaga anawakula wote kumbe sio(natania Glenn)

Anyway ni moja ya marafiki muhimu kwenye contact zangu habagui mtu

Glenn pls mu add huyu dada kwenye marafiki zako.
 
Nimeona aisee ni jambo nzuri
 
Umeanza lini kuniita shem akati dada angu ulishamwacha au kuna mchuchu humu unamkula nn ndo mana unajidefence maana ww hukosiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanini unafikiri sikosi?
Kweli sina mtu humu...kama yupo ajitokeze tu ruksa.

Ni kweli dadako siko naye lkn unajua fika SINA DENI JUU YAKE na sina makosa nilitimiza wajibu wangu kwa uaminifu mkubwa...unalo?

Kwa hiyo jimbo lipo wazi tugombee?
 
Leo nimetolewa ofa nikakumbuka huu uzi

Mwenyeji kaagiza chips kuku na soda hapo seacrif mimi nikaagiza chips kavu akaona aibu akasema muongezeew na tropical na mishikaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijavunja kanuni sio mkuu?
 
Leo nimetolewa ofa nikakumbuka huu uzi

Mwenyeji kaagiza chips kuku na soda hapo seacrif mimi nikaagiza chips kavu akaona aibu akasema muongezeew na tropical na mishikaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijavunja kanuni sio mkuu?
Yes hii ndio tunatska kula kwa step😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…