Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Hakuwa na aibu 😂😂😂
Kila mara jf huwa nasisitiza wanaume tuchague wanawake wenye akili unafikiri huwa natania?.

Kuna pisi mkikutana tu na kujumuika chakula anaanza kukuita mume na kuanza kukudhibiti..imejini ni day 1.


Hiyo hiyo day one anakueleza shida zake zoote.
1. Mama mgonjwa
2. Kodi ya nyumba
3. Gas imeisha
4. Kesho kutwa birthday yangu nataka 1m.
Yaani nilichoka na huu ni uhalisia.
Lisaa limoja na nusu nilipewa bajeti ya 1.6m.

Sijamtingoza na sikuwa na mpango.
Dejane hebu niambie nilikutana na pepo au nini?

Note: kuomba sio dhambi bali timing ni muhimu.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Jamaa alijimix hapa Dar kama mgeni wa maeneo acha mbwembwe. Kuna viwanja kadhaa ukiingia kukata 3M ni kawaida kwa starehe ya usiku mmoja tu.

Sasa we mtu katoka malinyi unampeleka Karambezi kweli 😀???
 
🤣 IMEJINI YANI JUST IMEJINIII
 
We falla uje Ar nikupeleke TUMBILI🤣
 

Naonaga waturuki kwenye tamthilia kila mahali wanapoenda wanaagiza chai au kahawa na ikiwa chakula ni kidogo sana bite tu
Sisi tunataka kuku ,bia,chips ndio maana tunanenepeana hovyo
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alitaka apost wasp good place af si unajua watu wa kigoma wakifika mjini kwaio ilibidi nimpeleke ila mpaka leo akitaka kutoka ananiambia nisimpeleke maeneo kama ya karambazi

Nampelekaga kitambaa cheupe na kibozone na maeneoa mengine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama una roho ya kimaskini kama hii, usipende kutoa ofa kabisa. Utakuja aibika ushangae.
 
Ungemtoa mwenzako af 10 bwana..si mlienjoy wote??
 
Hahahahah angefurahi, maana Exit plan ziko sebleni tu. Ni ku place tu then nakacha scene.🤣🤣🤣
Angepelekwa kwa manager akadeki vyoo 🤣🤣🤣🤣 me nkitembea na muamala mnaniona nna kibri...aibu hizi nani anataka.
Wafundisheni watoto tabia ya kuwajibika na kutopenda kupewa pewa . Wafundisheni kutoa..kamwe haya mambo ya mtu kula laki3 na kulia shida kibao kwenye mtoko wa kwanza hamtayaona
 
Ungemtoa mwenzako af 10 bwana..si mlienjoy wote??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni wale watu ambao tunalewa wote kwenye shida pambana na hali yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila utani sio kweli nisije kosa ofa haapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…