Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nimkomoe mwanamke kulikoni?Waoaji wenyewe mpooo?? Imebaki kukomoana tu. Kwenye wanaume 50 waoaji wenye commitment na ndoa zao 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimkomoe mwanamke kulikoni?Waoaji wenyewe mpooo?? Imebaki kukomoana tu. Kwenye wanaume 50 waoaji wenye commitment na ndoa zao 3
Ndo mana hua sipendi vitu vya offerYani mtu umemtoa Lunch au Dinner muwe mnaangalia kwanza mwenyewe kaagiza nini.
Tena jinsia ya KE ndio kabisa huko siwezi kuwazungumiza tujumuishe wote.
Yani ni metoa jamaa tendwe tukapate supu anaona mimi naagiza makongoro ya ng'ombe yeye anaagiza mchemsho wa kuku tena kidali. Kwa nini usisubiri kusikia muhusika kwanza.
Kuna wengine umeagiza chakula cha kawaida yeye anaagiza kushinda wewe.
Tuheshimiane tutakwepana: Jana nampa mtu ofa chukua bia anaona nakunywa balimi yeye anataka windock tena anabugia kwa sifa.
Vile vile sio kila anayekutoa awe mmeo.Waoaji wenyewe mpooo?? Imebaki kukomoana tu. Kwenye wanaume 50 waoaji wenye commitment na ndoa zao 3
Nikikuweka huru kwa kweli chukua
Hahaha sio ofa bana bali mualiko tu wa kujumuika kula pamoja na sio kitu kibayaNdo mana hua sipendi vitu vya offer
Uangalie na hali yake...agiza ambacho jamaa akikukimbia ulipe usijekupewa adhabu ya kuosha vyombo🤣🤣🤣Ndicho kinacho fanyika
Umefika mtu anamuita muhudumu msikilize uyo mtu anaona jau wew unasema kuwa huru agiza unachojisikia unaagiza tena unakasilika tukueleweje
Nikikuweka huru kwa kweli chukua
Hii nzuriMimi kama nimemuita mtu namwambia mapema ndugu hapa nimekuja sikiliza mziki agiza choda tu kama unataka kinywaji kingine toa pesa yako mfukoni ivyo tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Uangalie na hali yake...agiza ambacho jamaa akikukimbia ulipe usijekupewa adhabu ya kuosha vyombo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utakua ushaaibika tayariAse tutazinguana
Huu uzi ni mzuri japo mleta uzi kaandika kisela sana.Ase tutazinguana
Wapo wakomoajiiNimkomoe mwanamke kulikoni?
Yeah kweliVile vile sio kila anayekutoa awe mmeo.
Kuna ile urafiki na kamapani tu ya kawaida
Huu uzi ni mzuri japo mleta uzi kaandika kisela sana.
Hapa tunajifunza ustaarabu na sio kujiachia kupitiliza.
Mimi ukiniita kama sina pesa ya kutosha nitakunyqa zangu maji wewe kula tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vinginevyo uliyeniita nami nitachangia bill.
Ikiwa ni mtu mzito ndio nitakuachia bill yote hii ni kanuni kqangu.
Aah me sitak kusema kweli.Hahaha sio ofa bana bali mualiko tu wa kujumuika kula pamoja na sio kitu kibaya
Hahahaha "babe Baileys zimeisha kwahio tumeagiza MOET mbili za kuanzia 🤣🤣🤣!"Naagiza chochote ninachotaka tusipangiane tafadhali
Wewe ni mdhaifu sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna kitu kna icho lazima nikuchafue