Mnasema nawachukia lakini mnajitakia

Umemaliza kila kitu Hajar
 
Kwanini wanaume wa sikuhizi mkioga wanajisugulia boxer???
Hiv mmepatwa na nini nyie lakini[emoji23] [emoji23]
Hebu tutolee ushuhuda ulioupata kwa umalaya wako vibwana vyako vina tabia za kitoto unahisi wanaume wote tupo kama hao
 
Hahahaa. Lol.

Ila kule Kenya wenyewe walisema wanammiss ujue.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha acha wammis tu hakuna tatizo, ila swaiba kumbe una mkono wa birika namna hiyo umeenda Kenya umerudi hujaniletea hata kazawadi[emoji12]
 
Kwahiyo wewe unadhani tabia ya jamaa yako ndio kila mwanaume anayo?, siku akikojoa kitandani utakuja kusema hapa" nyie wanaume kwanini mnakojia kitandani "
 
Hahaha hapo ndio ninapompendea kritika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anawasha moto kisha yeye anakaa pembeni anawatizama mnavyo hangaika na madumu na mipira yakuzimia moto[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…