Mnasema nawachukia lakini mnajitakia

Mnasema nawachukia lakini mnajitakia

Hako kabwana kako kacheza singeri kana fanya huo upuuxi badala ya kukambia kenyewe unakuja kutujumuisha na sie.
Da Vinci toka mungu aghaili kukuchukua time zile umekua mkorofi sana
 
Da Vinci toka mungu aghaili kukuchukua time zile umekua mkorofi sana
Hahaaaa 😀😀😀
Hamna tunajaribu kutoa stress tu si unajua mambo ya nyuma ya kibodi.
Ka Vinci hata sio kakorofi kabisa Zesh..
 
Back
Top Bottom