Mnasema nawachukia lakini mnajitakia

Kwanini wanaume wa sikuhizi mkioga wanajisugulia boxer???
Hiv mmepatwa na nini nyie lakini[emoji23] [emoji23]
Umejuaje ?
Afu hiyo tabia yako ya ku date na vitoto vya o level afu tabia zao unatufananisha na sisi ukome

(Sijatoka povu)
 
Nipo hapa kusoma comments [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
brashi!!! kusugua ngozi au ni nn?
 
Una umri gani?
Maana naona umeandika wanaume badala ya "wavulana"
 
Hako kabwana kako kacheza singeri kana fanya huo upuuxi badala ya kukambia kenyewe unakuja kutujumuisha na sie.
Humu kuna watu mnavipaji aseee

Yani akisoma hii komenti sidhani kama atarudi kuuchungulia uzi wake aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…