Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Machadema akili za hovyo, mnaandana hamna hata social distancing Wala baracoa mnataka Corona.Bora Corona kuliko Tulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machadema akili za hovyo, mnaandana hamna hata social distancing Wala baracoa mnataka Corona.Bora Corona kuliko Tulia
Wameumbwa tuwale kwanini mnataka watutawale?Hawa hawa wanawake wa Tz kipindi Trump kashinda walituma messages za sympathy kwa Hillary kuonesha simanzi zao kwa mwanamke kukosa fursa ya kuitawala 'dunia'.
Lakini muda mchache nyuma (2015) Anna Mughwira (mwanamke mwenzao) aligombea urais na hakufikisha hata kura laki moja, unafki wa kiwango cha lami.
Hata mie nilimjulia kipindi kile anagombea na ndipo nikaona ubora wake hata humu JF amezungumziwa sana tu,ila wagombea kama Magufuli na mwenzie Lowassa hata mdahalo waliukimbia na Lowassa ndio kwenye mikutano yake ya kampeni alikuwa anaongea dk 5 tu ila et hao ndio walionekana bora.Binafsi sikuona ubora wake, nilimjua wakati anagombea, huo ubora ningeuona saa ngapi? Waliofahamu ubora wake walimpigia kura.
Ninaamini hata kura hukumpigia ingawa ulimuona bora kipindi hicho.
Tunaona siku wanawake wanafanya kazi ngumu za nguvu na pia za kutumia akili,sasa huo ugumu unaouzungumzia wewe ni upi ambao wanawake hawawezi?Simply Yes, na kwa mtazamo wangu ni ngumu sana kutokea rais wa US mwanamke ndio maana ubao so far unasoma (me 45 v 0 ke). Ile nafasi ni zaidi ya rais wa US.
Mkuu, kwa asili mwanamke is an auxiliary being, kuna majukumu hayamfai kwa kuwa kwa vyovyote vile yatakuwa juu yake.Tunaona siku wanawake wanafanya kazi ngumu za nguvu na pia za kutumia akili,sasa huo ugumu unaouzungumzia wewe ni upi ambao wanawake hawawezi?
HayaHata mie nilimjulia kipindi kile anagombea na ndipo nikaona ubora wake hata humu JF amezungumziwa sana tu,ila wagombea kama Magufuli na mwenzie Lowassa hata mdahalo waliukimbia na Lowassa ndio kwenye mikutano yake ya kampeni alikuwa anaongea dk 5 tu ila et hao ndio walionekana bora.
Mkipendana nyie wanaume inatosha. Tumeumbwa hivyo hatuwezi kubadilika.
Basi mkubali tu asili ichukue mkondo wake kwamba mwanaume ndie kichwa na ndie anaepaswa kua mbele yenu katika mambo yote, huko kung'a ng'ani usawa ama haki yenu popote pale muachale mkuu.Mkipendana nyie wanaume inatosha. Tumeumbwa hivyo hatuwezi kubadilika.
Hatusemi watutawale ila tunawakumbusha kuwa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie wala sio sisi kama wanavyodhani.Wameumbwa tuwale kwanini mnataka watutawale?
Ndio hujaeleza sasa ugumu upo wapi kwa mwanamke kwa hayo uliyoyaeleza?Mkuu, kwa asili mwanamke is an auxiliary being, kuna majukumu hayamfai kwa kuwa kwa vyovyote vile yatakuwa juu yake.
Mwanamke kuwa rais inawezekana kwa kuwa kunakuwa na mifumo, katiba na mihimili mingine inayo muongoza/mdhibiti lakini when it comes to US mambo ni tofauti.
Rais wa US anakuwa ni kama rais wa 'dunia', anatawala na kufanya maamuzi ya maeneo ambayo hata hayajamchagua na wakati mwingine pasipo 'msaada' wa mifumo wala sheria.
Ndio hujaeleza sasa ugumu upo wapi kwa mwanamke kwa hayo uliyoyaeleza?
Haya mkuu.To cut the long story short, mwanamke ni kama trailer ya gari haiwezi kuvuta gari.
Yaani wewe una matatizo sio bure. Uliyoyasema hapa hayaendani na mada., Kichwani mwako kumejaa mfume dume tu.Basi mkubali tu asili ichukue mkondo wake kwamba mwanaume ndie kichwa na ndie anaepaswa kua mbele yenu katika mambo yote, huko kung'a ng'ani usawa ama haki yenu popote pale muachale mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaweza kua Niko na matatizo maybe lakini huo ni kwa wako mtazamo.Yaani wewe una matatizo sio bure. Uliyoyasema hapa hayaendani na mada., Kichwani mwako kumejaa mfume dume tu.
Haki tutaendelea kuzipigania na bahati nzuri tunazipata hatuna wasiwasi...wanawake wengi wapo juu wanaendelea kuelimika na kufunguka akili. Only time will tell.
sasa mnataka wamuunge mkono kwa kuwa ni mwanamke au kama mgombea urais mwenye ilani ya chama na sera zinazowavutia wanawake, kumbukeni anagombea urais wa nchi sio urais wa wanawake kwahiyo anapimwa kwa vitu vingi ili apate kuungwa mkono na sio jinsi yake tu.Kwa nini wanawake mnadai haki na usawa wa kijinsia huku mnashindwa kuonyesha umoja kwenye njia mnayoipitia katika kudai usawa na ile nadhalia ya kutaka kupewa nafasi kwenye mabalaza ya maamuzi?
👉 Wanawake wanadai usawa kwenye kila jambo wanaloona wameachwa nyuma, tuzungumzie siasa na uongozi, taasisi na mikusanyiko ya kila aina inayokaa ili kudai nafasi kwenye siasa inafanyika kila siku.
Bahati mbaya au nzuri ni kwamba kupitia sehemu hiyo wao wenyewe wanashindwa kujua hawana ubavu kupata usawa au kuingia kwenye nafasi kubwa pasipo upendeleo au kusukumwa.
Queen Cuthbert Sendiga ni mgombea urais kupitia chama cha alliance for democratic ni mwanamke pekee kati ya wagombea wote wa nafasi ya urais, lakini mpaka sasa hakuna sehemu yoyote inayopiga kelele kama si kampeni kumnadi mama huyu.
Kwa nini tunasema haki wanayodai wanawake siyo ile ya kutoka moyoni, picha tunayoiona kupitia mgombea huyu ndiyo ukweli halisi wa tabia za jinsia hii pendwa.
Nilidhani kupitia mama huyu basi wanawake kama siyo wote wangeonyesha umoja angalau tushangae na kusema kitu, ila mpaka hapa wamekwama.
Mgombea mwenyewe alishasema kama siyo kulalamika kuwa "Wanawake hawana umoja" sasa haifahamiki kama tatizo ni chama au ni nini?
Karibu kwa mjadala.
Hujaelewa mada, umesoma haraka haraka au hujui mambo ya women ministry how is working behind but issue hapa siyo haki sawa, hiyo haki sawa ni sehemu ya world agenda to win women's kwa hapa nimeigusia kwa sababu ni sehemu yao katika kudai uungwaji mkono.HAKI sawa na mambo unayoyazungumza hapa ni vitu viwili tofauti kabisa!
Umeongea point sana mzeeWanawake hawapendani hiyo ni nature yao hata Kama wametoka tumbo moja!!
Sent using Jamii Forums mobile app
HOJA YAKO UMEIVURUGA ULIPOTAKA WANAWAKE KUUNGA MKONO WANAWAKE WENZAO KAMA SEHEMU YA KUFANIKISHA AJENDA YAO YA HAKI SAWA KWA WOTE! SUALA LA KUCHAGUA KIONGOZI (KWA KUMPIGIA KURA) HALIWEZI KUTAZAMWA KATIKA 'HAKI SAWA'! KATIKA VYAMA AU JAMII AU VIKUNDI MBALIMBALI, HILO LINAWEZA KUWEZESHWA KUPITIA MAPENDEKEZO TU LAKINI SIO KWENYE UPIGAJI KURA!Hujaelewa mada, umesoma haraka haraka au hujui mambo ya women ministry how is working behind but issue hapa siyo haki sawa, hiyo haki sawa ni sehemu ya world agenda to win women's kwa hapa nimeigusia kwa sababu ni sehemu yao katika kudai uungwaji mkono.
KARIBU.
HOJA YAKO UMEIVURUGA ULIPOTAKA WANAWAKE KUUNGA MKONO WANAWAKE WENZAO KAMA SEHEMU YA KUFANIKISHA AJENDA YAO YA HAKI SAWA KWA WOTE! SUALA LA KUCHAGUA KIONGOZI (KWA KUMPIGIA KURA) HALIWEZI KUTAZAMWA KATIKA 'HAKI SAWA'! KATIKA VYAMA AU JAMII AU VIKUNDI MBALIMBALI, HILO LINAWEZA KUWEZESHWA KUPITIA MAPENDEKEZO TU LAKINI SIO KWENYE UPIGAJI KURA!
Hongera Queen Sendiga kuteuliwa RC.Kwa nini wanawake mnadai haki na usawa wa kijinsia huku mnashindwa kuonyesha umoja kwenye njia mnayoipitia katika kudai usawa na ile nadhalia ya kutaka kupewa nafasi kwenye mabalaza ya maamuzi?
👉 Wanawake wanadai usawa kwenye kila jambo wanaloona wameachwa nyuma, tuzungumzie siasa na uongozi, taasisi na mikusanyiko ya kila aina inayokaa ili kudai nafasi kwenye siasa inafanyika kila siku.
Bahati mbaya au nzuri ni kwamba kupitia sehemu hiyo wao wenyewe wanashindwa kujua hawana ubavu kupata usawa au kuingia kwenye nafasi kubwa pasipo upendeleo au kusukumwa.
Queen Cuthbert Sendiga ni mgombea urais kupitia chama cha alliance for democratic ni mwanamke pekee kati ya wagombea wote wa nafasi ya urais, lakini mpaka sasa hakuna sehemu yoyote inayopiga kelele kama si kampeni kumnadi mama huyu.
Kwa nini tunasema haki wanayodai wanawake siyo ile ya kutoka moyoni, picha tunayoiona kupitia mgombea huyu ndiyo ukweli halisi wa tabia za jinsia hii pendwa.
Nilidhani kupitia mama huyu basi wanawake kama siyo wote wangeonyesha umoja angalau tushangae na kusema kitu, ila mpaka hapa wamekwama.
Mgombea mwenyewe alishasema kama siyo kulalamika kuwa "Wanawake hawana umoja" sasa haifahamiki kama tatizo ni chama au ni nini?
Karibu kwa mjadala.