Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Summarize uandishi wako,Unaandika maneno mengi mno hueleweki lengo lako?Hivi mnataka tuamini kuwa uchaguzi Tanzania miaka yote ulikuwa unafanyika vizuri, kwa Amani, na bila makadokado ya Chama tawala na wapambe wake? Kwamba kufika 2015 mambo yakaharibika? Yaani, tuamini JPM na timu yake walivuruga uchaguzi ili washinde 2015? Kabla ya hapo mambo yalikuwa powa.
Mmesahau kabisa yaliyotokea 2010?
Arumeru Mashariki
Nyamagana
Igunga
Nzega
Mbeya Mjini
Arusha Mjini
Tarime
Ubungo
Kilombero
Bumbuli
Na kuwa matokeo ya uchaguzi wa Rais yalivyodaiwa kupikwa na kundi la vijana waliofadhiliwa data center kumanipulate data za Tume?
Au mmesahau jinsi vyombo vya Habari vilivyokatazwa kutangaza matokeo ya Urais kama yalivyo majimboni...
Najibiwa...
Mwanakijiji wewe ni sukuma gang...uchaguzi wa 2015 ndio JPM aliuharibu wa 2010 was the best election ever!!
Nawajibu
Hakuna mwaka Tanzania ilishuhudia damu kumwagika kwenye uchaguzi ili kuhakikisha utawala unabakia madarakani kama 2010. That's a fact not an opinion.
Nawauliza:
Nani alimwaga damu kuelekea uchaguzi wa 2020 au siku ya uchaguzi?
Jaribu kupangilia lengo kuu mwanzo mwa uzi wako
Mara unaitwa Sukuma Gang
Mara 2010 damu zilimwagika sana
Mara JPM 2015 kwani aliharibu uchaguzi
Mara Makamba Je ataachia jimbo la bumbuli
Ulimwengu wa sasa unahitaji maandishi mafupi sana ,