Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

Hivi mnataka tuamini kuwa uchaguzi Tanzania miaka yote ulikuwa unafanyika vizuri, kwa Amani, na bila makadokado ya Chama tawala na wapambe wake? Kwamba kufika 2015 mambo yakaharibika? Yaani, tuamini JPM na timu yake walivuruga uchaguzi ili washinde 2015? Kabla ya hapo mambo yalikuwa powa.

Mmesahau kabisa yaliyotokea 2010?
Arumeru Mashariki
Nyamagana
Igunga
Nzega
Mbeya Mjini
Arusha Mjini
Tarime
Ubungo
Kilombero
Bumbuli

Na kuwa matokeo ya uchaguzi wa Rais yalivyodaiwa kupikwa na kundi la vijana waliofadhiliwa data center kumanipulate data za Tume?

Au mmesahau jinsi vyombo vya Habari vilivyokatazwa kutangaza matokeo ya Urais kama yalivyo majimboni...

Najibiwa...
Mwanakijiji wewe ni sukuma gang...uchaguzi wa 2015 ndio JPM aliuharibu wa 2010 was the best election ever!!

Nawajibu
Hakuna mwaka Tanzania ilishuhudia damu kumwagika kwenye uchaguzi ili kuhakikisha utawala unabakia madarakani kama 2010. That's a fact not an opinion.

Nawauliza:

Nani alimwaga damu kuelekea uchaguzi wa 2020 au siku ya uchaguzi?
Kwamba hatujui wizi katika uchaguzi kabla ya 2020, na uhayawani wa 2020? Ni hivi, kabla ya 2020 kulikuwa na wizi kwenye chaguzi, 2020 haikuwa wizi katika uchaguzi, Bali dhalimu magu alipora mchakato wa uchaguzi.
 
2020 hakukuwa na uchaguzi bali zoezi la Magufuli la kusimika watu aliowateua yeye. Miaka mingine chaguzi zilifanyika ila siyo huru na haki na waliiba kura.
 
Hivi mnataka tuamini kuwa uchaguzi Tanzania miaka yote ulikuwa unafanyika vizuri, kwa Amani, na bila makadokado ya Chama tawala na wapambe wake? Kwamba kufika 2015 mambo yakaharibika? Yaani, tuamini JPM na timu yake walivuruga uchaguzi ili washinde 2015? Kabla ya hapo mambo yalikuwa powa.

Mmesahau kabisa yaliyotokea 2010?
Arumeru Mashariki
Nyamagana
Igunga
Nzega
Mbeya Mjini
Arusha Mjini
Tarime
Ubungo
Kilombero
Bumbuli

Na kuwa matokeo ya uchaguzi wa Rais yalivyodaiwa kupikwa na kundi la vijana waliofadhiliwa data center kumanipulate data za Tume?

Au mmesahau jinsi vyombo vya Habari vilivyokatazwa kutangaza matokeo ya Urais kama yalivyo majimboni...

Najibiwa...
Mwanakijiji wewe ni sukuma gang...uchaguzi wa 2015 ndio JPM aliuharibu wa 2010 was the best election ever!!

Nawajibu
Hakuna mwaka Tanzania ilishuhudia damu kumwagika kwenye uchaguzi ili kuhakikisha utawala unabakia madarakani kama 2010. That's a fact not an opinion.

Nawauliza:

Nani alimwaga damu kuelekea uchaguzi wa 2020 au siku ya uchaguzi?
Acha kujifanya fyatu Mzee ....
 
Wizi wa kura na ujambazi wake hakuna kipindi kinachozidi kingine. Tofauti ni JPM hakuwa mnafiki na kona kona. Ukisikia mtu anasema 2020 ilizidi ujue huyo hajawahi kuwa front kwenye uchaguzi na kama alishiriki hakuwa insider alisikia sikia tu vitu.
 
2020 ulikuwa mwaka wa tofauti kabisa. Yule mzee alikuwa mjinga sana na ndiyo amesababisha haya yote yanatokea sasa hivi ya nchi kugeuzwa kama danguro. Alidhani wapinzani ndiyo maadui zake kumbe wale wale aliofosi wakapora ubunge ndiyo wabaya namba moja. Mimi nashangaa Magufuli na vyombo vya usalama vyote walishindwaje kuona hawa wanafiki kama kina Makamba na hata Samia.
 
Sasa kwavile hoja imekuwa hoja nyingine...

Hakuna chama chochote cha siasa mbali na CCM wenyewe kitakacho pigiwa kura kwa kulalama kuwa kura za Uchaguzi ziliibiwa na kwamba zitaenda kuibiwa tena 2025.

Uzeni sera zenu.

Na msidanganye kwamba Katiba mpya au tume huru ndiyo inayoenda kupunguza makali au kuondoa wizi.

Kama ndio hivyo sheria za Kunyongwa mtu zingesha maliza mauaji na wizi kokote kule duniani.

Uzeni sera mchaguliwe.
 
2020 hakukuwa na uchaguzi bali zoezi la Magufuli la kusimika watu aliowateua yeye. Miaka mingine chaguzi zilifanyika ila siyo huru na haki na waliiba kura.
Kabisa hata alichokifanya dhalimu magu wanaccm wenzake wameona ilikuwa upuuzi mtupu. Dhalimu magu alitaka kulazimisha ionekane ccm chini yake ilikubalika sana, wakati hata wanaccm wenzake wanajua hilo sio kweli.
 
Sasa kwavile hoja imekuwa hoja nyingine...

Hakuna chama chochote cha siasa mbali na CCM wenyewe kitakacho pigiwa kura kwa kulalama kuwa kura za Uchaguzi ziliibiwa na kwamba zitaenda kuibiwa tena 2025.

Uzeni sera zenu.

Na msidanganye kwamba Katiba mpya au tume huru ndiyo inayoenda kupunguza makali au kuondoa wizi.

Kama ndio hivyo sheria za Kunyongwa mtu zingesha maliza mauaji na wizi kokote kule duniani.

Uzeni sera mchaguliwe.
Tuuze sera tuchaguliwe kwani Kuna uchaguzi, ama upuuzi kama upuuzi mwingine?
 
Ilitokea wakati wa uchaguzi, siku ya uchaguzi? Kwenye kampeni? Nani alimwaga damu kuelekea uchaguzi wa 2020? Ndiyo hoja iliyowekwa mezani.
Utajuaje wakati ulikuwa umefunikwa na kitambaa Cha mahaba niue? Ni chombo gani kulikuwa huru kutangaza uhayawani ule? Picha kibao ziko huku mitandaoni za unyama ule, na mauaji yalitangazwa, ila ilikuwa marufuku kutangaza kwenye vyombo rasmi za habari. Ama unadhani timesahau.
 
Tuuze sera tuchaguliwe kwani Kuna uchaguzi, ama upuuzi kama upuuzi mwingine?
Kama ni upuuzi mnataka nini?

Basi msubiri Maridhiano ya Kitaifa na nyie mtubu dhambi zenu za kutengeneza mazingira pamoja na kujiteka na kujipiga risasi....

halafu mpewe madaraka ya kupewa, si ndio lengo la Mbowe na Lissu?

Haya ya Uchaguzi hamuyawezi. Hamchaguliki.
 
Utajuaje wakati ulikuwa umefunikwa na kitambaa Cha mahaba niue? Ni chombo gani kulikuwa huru kutangaza uhayawani ule? Picha kibao ziko huku mitandaoni za unyama ule, na mauaji yalitangazwa, ila ilikuwa marufuku kutangaza kwenye vyombo rasmi za habari. Ama unadhani timesahau.
Weka huo ushahidi hapa basi. Hiyo damu wakati wa Uchaguzi 2020 ilimwagika wapi?

Hayati Rais kesha maliza mwendo kazikwa, woga wa nini? Mnaogopa mfu?

Swali sio fyatu tu, ni kuntu. Mnataka kumbebesha dhambi zenu?
 
Back
Top Bottom