Ndio maana, tupo nyuma kimaendeleo kwa kuwa wajinga na wapumbavu ndio viongozi. Magenious, hatuongoz tunaandika paper na recommendations zinabaki makabatini. Ila, hakuna kisicho na mwisho.A
Anakuwaje Mjinga na amekuwa kiongozi Kwenye chama chako?
Na amepewa Nyaraka mbali mbali za wizara na wewe uko hapa unapiga makelele tu?
Mbona hizo nafasi hujapewa wewe?