Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Wanakumbusha kijinga kwa kuwa ni wajinga, wanajua wazi kwamba ubaya haukuanzi kwa Magufuli na wala ubaya haukukoma baada ya kifo cha Magufuli. Ubaya umekuwepo tangu enzi ya Nyerere hadi leo, na utaendelea kuwepo kwa sababu wabongo walikwisha vurugwa fahamu zao na watawala toka CCM.Mkuu watu hawa hitaji Mwendazake ajibu! Wanakumbushana ubaya uliotokea kipindi chake hadi kwenye uchaguzi wa 2020 ili usijirudie .
Yaliyotokea zamani yatajirudia na mtakuwa chini ya himaya ile ile so ni ujinga kujifariji kwa kupeleka lawama za ubaya kwa mfu ilhali wapo walio hai na wanatenda ubaya wote huku mkiwaita 'waheshimiwa' pasipo kushughulika na hao watenda ubaya walio hai.
Kwa akili hizo za wabongo mtabaki kuwa watwana wa CCM milele yote
Mitano kwa mama ccm ni ile ile msijinyonge 😂😂