SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Mapovu yamekutoka sasa una kifaduro😅Wewe ni mjinga sana
Huna hoja.
Kanywe Uji sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapovu yamekutoka sasa una kifaduro😅Wewe ni mjinga sana
Magufuli alimfanyia unyama nani zaidi ya kupigania haki dhidi ya mafisadi na wahuni wenzako.... SA wazungu walikuwa wanajilitea maendeleo wao na kuwadhurumu wazawa tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri ... tz tunataka rais mzalendo na mkatili zaidi ya jpm maana wahuni kama wewe ni wengi sana .Kwa haya maelezo yako ilikuwa sahihi kwa weusi wa africa kusini kufanyiwa unyama na makaburu, kwa sababu hao makaburu walikuwa wanaleta maendeleo?
Kumbebesha hayati madhambi ya wahuni ndiyo hoja kuu.Mkuu unatanua magoli kabla ya mtanange wa hoja kuisha. Jikite kwenye hoja iliyopo!
Zimeongea mihemko ila sio facts.Alijaribu kwenda kinyume na sera nyingi za ccm, kisha apore uchaguzi Ili ccm itawale kwa shuruti! Unaumwa ww. Angeheshimu uchaguzi kisha matokeo halali yapatikane ndio mje na hizi ngonjera zenu. Wawakilishi wote wa wananchi hivi Sasa ni yeye aliwaweka kupitia uchaguzi wa kihayawani, mbona hawawatetei wananchi kama alichofanya ni kitu Cha maana?
MSome jamaa na ujisome tena ulichoandika.Sema nilichosema hakibebi mahaba yako.
2010 tulikuwa na uchaguzi wa haki?Hivi na akili zako utatetea uchaguzi wa 2020?. Labda uwe mnafiki
Hakika leo umeandika jambo kubwa na linaumiza sana!!Hivi mnataka tuamini kuwa Uchaguzi Tanzania miaka yote ulikuwa unafanyika vizuri, kwa Amani, na bila makadokado ya Chama tawala na wapambe wake? Kwamba kufika 2015 mambo yakaharibika? Yaani, tuamini JPM na timu yake walivuruga uchaguzi ili washinde 2015? Kabla ya hapo mambo yalikuwa powa.
Mmesahau kabisa yaliyotokea 2010?
Arumeru Mashariki
Nyamagana
Igunga
Nzega
Mbeya Mjini
Arusha Mjini
Tarime
Ubungo
Kilombero
Bumbuli
Na kuwa matokeo ya uchaguzi wa Rais yalivyodaiwa kupikwa na kundi la vijana waliofadhiliwa data center kumanipulate data za Tume?
Au mmesahau jinsi vyombo vya Habari vilivyokatazwa kutangaza matokeo ya Urais kama yalivyo majimboni...
Najibiwa...
Mwanakijiji wewe ni sukuma gang...uchaguzi wa 2015 ndio JPM aliuharibu wa 2010 was the best election ever!!
Nawajibu
Hakuna mwaka Tanzania ilishuhudia damu kumwagika kwenye uchaguzi ili kuhakikisha utawala unabakia madarakani kama 2010. That's a fact not an opinion.
Nawauliza:
Nani alimwaga damu kuelekea uchaguzi wa 2020 au siku ya uchaguzi?
Hakika wewe mkuu ndio umeelewa mada inalenga nini.Hakika leo umeandika jambo kubwa na linaumiza sana!!
Eti kabla ya 2015 Kinana na CHAWA wake Zitto wanataka kutuaminisha kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa Haki!!
Wakati mwingine najiuliza hawa wahuni wanaoitafuna nchi usiku na mchana ni kweli wanaweza kutengeneza mifumo mizuri ili wengine waweze kutawala? Jibu ni kwamba HAPANA
KOSA kubwa la Magufuli labda tuseme ninkukataa kuwasikiliza hawa wezi!!
Nani asiyeujua ufisadi wa Kinana na genge lake!? Nani asiyeujua ufisadi na udalali wa Januari na wahuni wenzake? Januari katoa wapi pesa za kuhonga gari ya Milioni 500 baada tu ya Magufuli kufa?
Mzee Mwanakijiji Leo umenena jambo zito sana!!
Mwisho niwatahadhalishe vyama vya siasa kwamba, Kinana ni yule yule, JK ni yule yule, Mbowe ni yule yule, Januari na Rostam ni wale wale..... Hawa wote HAWAJASHIBA hata wakuandalieni uchaguzi huru na wa Haki.
Hawa wazalendo wameuza Bandari, wameuza Mbuga zetu, wanahujumu mradi wa Umeme n.k.!!! Tuendelee kuwapigia makofi ili watuuze na sisi
Kwa jinsi uchaguzi ule wa 2020 ulivyoendeshwa na wateule wa yule mzilankende ni heri usingefanyika kwa sababu yalikuwa matumizi mabaya ya fedha za umma .Haiji akilini wagombea wa upinzani kibao kwenye ubunge na udiwani waliwekewa vikwazo kibao ili tu wagombea wa CCM wapite bila kupingwa.Kichekesho hata access ya mtandao ikawa shida ili watu wasiwasiliana ilikuwa ni dark agesUchaguzi 2020 ulikuwa wa kipuuzi huuu ni ukweli mchungu
Tatizo labda wanaosema ndio wanafiki maana walishiriki kuhujumu uchaguzi.
Zigo la democracy na uchaguzi wa hovyo litamwandama magufuli vizazi na vizazi.
Tupende kusema ukweli magufuli alikuwa ni rais wa ovyo kwenye mfumo wa vyama vingi na hasa katika kipindi hiki cha digital wewe unatawala kama mkoloni ....
Angekuwa rais bora kama angetawala Tanzania baada ya Uhuru uko sio sasa.
Uzi mzito kama huu wa Mzee Mwanakijiji ilikuwa ni lazima wamwage wahuni mitandaoni kuupotosha.Zunguka upendavyo lakini Jiwe alizidisha wizi na ukatili uliopitiliza sijui kama alipata nafasi ya kutubu katika siku zake za mwisho.
Watamtukana,watamsimanga lakini hawawezi kuondoka ukweli kwamba Magufuli yupo kwenye mioyo ya Watanzania. Kama wanadhani kwamba watashindana naye 2025 basi Wacha wapoteze mudaHivi mnataka tuamini kuwa Uchaguzi Tanzania miaka yote ulikuwa unafanyika vizuri, kwa Amani, na bila makadokado ya Chama tawala na wapambe wake? Kwamba kufika 2015 mambo yakaharibika? Yaani, tuamini JPM na timu yake walivuruga uchaguzi ili washinde 2015? Kabla ya hapo mambo yalikuwa powa.
Mmesahau kabisa yaliyotokea 2010?
Arumeru Mashariki
Nyamagana
Igunga
Nzega
Mbeya Mjini
Arusha Mjini
Tarime
Ubungo
Kilombero
Bumbuli
Na kuwa matokeo ya uchaguzi wa Rais yalivyodaiwa kupikwa na kundi la vijana waliofadhiliwa data center kumanipulate data za Tume?
Au mmesahau jinsi vyombo vya Habari vilivyokatazwa kutangaza matokeo ya Urais kama yalivyo majimboni...
Najibiwa...
Mwanakijiji wewe ni sukuma gang...uchaguzi wa 2015 ndio JPM aliuharibu wa 2010 was the best election ever!!
Nawajibu
Hakuna mwaka Tanzania ilishuhudia damu kumwagika kwenye uchaguzi ili kuhakikisha utawala unabakia madarakani kama 2010. That's a fact not an opinion.
Nawauliza:
Nani alimwaga damu kuelekea uchaguzi wa 2020 au siku ya uchaguzi?
Rais aliyepo madaraka angelikuwa mwema kuliko Magufuli angevunja hilo bunge lililowekwa kwa ubaya.Wawakilishi wote wa wananchi hivi Sasa ni yeye aliwaweka kupitia uchaguzi wa kihayawani, mbona hawawatetei wananchi kama alichofanya ni kitu Cha maana?
Natamani watu walielewe hili maadam wakiwa hai. Asante ndugu[emoji120]Mwisho wa siku unajikuta uko motoni milele na milele baada ya kuwatendea mabaya wenzio huku duniani.
Ulivyoiba na kudhulumu haki za wengine havikusaidii tena huko motoni.
Heri wenye moyo safi maana watamuona BWANA.
Kwanza mimi siyo CHADEMA, soma threads zangu huko nyuma utaniona. Mimi ni Mtanzania neutral, CCM ikiharibu nakosoa na UPINZANI ukikosea pia nakosoa.Wewe kweli ni zuzu. Wapi hapo niliposema au kushwawishi kwamba Uchaguzi wa 2020 haukuwa wa kweli. Huwa unajipendkeza hapa na Watu wa Ulaya na Marekani. Kuna ripoti hata moja kutoka kwai inasema ule haukuwa Uchaguzi? Kwa maneno mengine... Porojo zako hazifanyi ule kutokuwa Uchaguzi.
Kwa hiyo alichaguliwa Magufuli peke yake.? Yaani aibe kura zote ili iweje? Nyuma Lowassa hakupata Kura? Tundu Lissu hakupata kura? Sasa hiyo lugha yako kuwa aliiba kura zote umepata wapi kama sio kupotosha umma.? Wacha uzuzu.
Wacha uongo. Huyo Magufuli alikuwepo kila sehemu? Where is your Logic?
Hayo ni maoni yako Una haki. Lakini hayabadilishi ukweli.
Una makasiriko sana mpaka mapovu yanakutoka.
...mpaka sasa unatumia nguvu kuuubwa za nini? kudai kwamba hakupendwa?? au Ndio kusema na wewe ulikuwa zuzu sasa umeamka?
Nyie CHADEMA pia mmejaaa madhambi mengi tu, na mseme mlishindwa kwa mbinu. Mtulie tu na msubiri 2050!
Hao wanaowaona ni bora katika uongozi ndio wanaopitisha mafao ya wenza wa viongozi,wanahujumu umeme,wanahujumu bandari na sasa wanahujumu reli.Rais aliyepo madaraka angelikuwa mwema kuliko Magufuli angevunja hilo bunge lililowekwa kwa ubaya.
Acha ujinga ndugu kwa kumlaumu hayati huku ukiwaacha wahuni walio hai wakikukausha damu.
Umehemka na wewe tena.Kwanza mimi siyo CHADEMA, soma threads zangu huko nyuma utaniona. Mimi ni Mtanzania neutral, CCM ikiharibu nakosoa na UPINZANI ukikosea pia nakosoa.
Kama unadhani mwaka 2020 kukikuwa uchaguzi basi inabidi aidha upelekwe Mirembe Mental Hospital au ukaombewe na wanaopunga mapepo.
Hivi hata hiyo issue ya wabunge 19 wanaojifanya ni wa CHADEMA bungeni haikupi picha ni nini kikiendelea kwenye uchaguzi wa 2020??
Kama hujui ndiyo nimekujuza hivyo; ballot papers zilichapiwa Jamana Prrinters na kikosi maalum cha ku tiki kiliweka kambi TII College Mbweni.
Ma DSO na ma DED walipewa maelekezo tu ya kura za kutamka
Hiyo issue ya kwamba kila anayempinga Magufuli alikuwa na cheti FEKI, naipinga kwa nguvu zote. Kwanza hata Magufuli mwenyewe alikuwa na PhD FEKI na alipohojiwa na Ben Saanane ndipo akaamua kumteka na kumpoteza mpaka leo.Tanzania imekuwa mahali salama sasahivi kwa mafisadi, vyeti feki, wapiga madili , wahujumu uchumi, wavivu
Na usikute ata ilo shambulio la Lissu watekelezaji ni aoao ambao sauti zao zilivuja ili zigo limuangukie Jiwe..kama kuna madaraja ya uhalifu wa kisiasa Magufuli na genge lake wako daraja la juu kuwazidi wenzao.
..kwa mfano, shambulizi dhidi ya Tundu Lissu, unaanzaje kumtetea Magufuli kwa ushenzi wa kiwango kile?
Kufa nitakufa lakini siwezi kuacha watu wakinidai kwa kumwaga damu za ndugu zao.Hata wewe mbona utakufa ndugu yangu huishi milele kwenye hii dunia ni swala muda tu
Magufuri yupo kwenye mioyo ya Watanzania wapumbavu tu kama wewe. Usituchanganye humo na sisiWatamtukana,watamsimanga lakini hawawezi kuondoka ukweli kwamba Magufuli yupo kwenye mioyo ya Watanzania. Kama wanadhani kwamba watashindana naye 2025 basi Wacha wapoteze muda