Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

Kawaida ni kawaida tu haiwezi kuwa kawaida kawaida nyingine wakati ni kawaida ileile....mchezo wa Bumbuli wapo hausahauliki...kurudisha zile fomu...
Mbona mkuu umekuwa mkali sana awamu hii. Wakati wa rafiki yako ukipongeza hata Lissu aliposhambulia ulifanya sherehe. Tatizo nini hasa?
 
Ha Ha. Narudia, wewe umenga'ang'ania uchaguzi haukufanyika, na mimi nakwambia Ulifanyika.

Sasa kama unataka kusema kwamba kati yangu na wasimamizi wa Kimataifa tuliona Uchaguzi umefanyika na wewe ndio Unakataa, sijui unapata wapi hiyo nye nye nye yako. Unatakiwa wewe ndie uende huko ukapimwe.
Hivi hata hiyo issue ya wabunge 19 wanaojifanya ni wa CHADEMA bungeni haikupi picha ni nini kikiendelea kwenye uchaguzi wa 2020??
Hayo ya wao kujifanya CHADEMA sijawahi kuyasikia. Na wala haitoi picha ya nini kiliendelea 2020-Kwanini hujiulizi ni kwanini CHADEMA imekubali ruzuku za Uchaguzi? Na wao wapelekwe Mirembe-mapepo wanayo.
Kama hujui ndiyo nimekujuza hivyo; ballot papers zilichapiwa Jamana Prrinters na kikosi maalum cha ku tiki kiliweka kambi TII College Mbweni.
Hayati Rais Magufuli alikwepo huko mbweni? Kama huna jibu la maana stfup
Ma DSO na ma DED walipewa maelekezo tu ya kura za kutamka
Sasa ulishindwa nini kuelezea hivyo badala ya kuja na lugha za kupotosha? Kwa lengo gani?


Stuxne, usinilishe maneno.
 
Rais aliyepo madaraka angelikuwa mwema kuliko Magufuli angevunja hilo bunge lililowekwa kwa ubaya.

Acha ujinga ndugu kwa kumlaumu hayati huku ukiwaacha wahuni walio hai wakikukausha damu.
Avunje hilo bunge kwa bajeti gani aliyo nayo? Maisha ni hadithi, udhalimu ndio hadithi ya Magufuli. Mtume na Yesu walikufa miaka mingi, mbona Bado wanaongelewa?
 
🙏
 
🤣 🤣 🤣
 
Mahaba yana taabu! 🤣 🤣 🤣
 
Mkuu naona ujumbe wako kama wa Kinana majuzi umewalenga zaidi wenyeviti, madiwani na wabunge, maana wajumbe wananoa visu tu, wakisubiri wafanye yao! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Huo ndio ukweli , watarudi hapa kulalamika Tena na kumkumbuka Shujaa
 
Hiyo bajeti haipo, lakini kwa wanaccm wote na wapenda haki wanajua siasa za magu zilikuwa za kishenzi.
Nani kakuambia bajeti haipo? Ni hivi CCM inanufaika na udhalimu haijalishi nani kafanya

JPM alikuwa si mnafiki alitaka mzinduke lakini akili zenu zimelala mnaamini mtapata ahuenj kupitia Samia , nyie ni wapuuzi sana
 
Ka
Kabla ya 2015 au kabla ya 2020?

Maana naona mnakwepa dhana kuwa JPM "alisaidiwa" mwaka 2015
 
..ukatili wa Magufuli ulianza alipoingia madarakani, na uliendelea mpaka MUNGU alipomchukua.
Mungu hawezi kumchukua mtu kibri kama yule anayetaka hadi kumpangia Mungu majukumu yakuongoza malaika, atakuwa kachukuliwa na upande mwingine
 
Tuna wadau wa kupambana na After the Fact...., Badala ya kulaumu yanayotendeka sasa wanadeal na yaliyopita..., Tungonjee miaka kumi ijayo ili tuje tulaumu yatakayotokea miaka mitana ijayo
 
Two wrongs?

Don’t defend kitu kibaya kwa kuonyesha kibaya kingine
 
Nadhani siasa za nchii hii wengi hawazitambui Kuna mdau anaongelea kwamba Magufuli na genge lake katika uharifu wako daraja la juu na kutoa mfano wa Tundu lissu lakini ukumbuke kwamba kwenye utawala wa Jk Kuna mgogoro wa madaktari na serikali na kilichotokea kiongozi wa madaktari alitekwa na kun'golewa kucha na ilikua auwawe lakini kelele zikawa nyingi akatupwa porini.
Hii yote inaonyesha hizi tawala zote ni dhalimu tu na bora hata utawala wa Magufuli ambae alipigania vitu vya msingi vingi.
 
Narudi tena, mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi mkuu kwa kuwa Magufuli aliuharibu kwa kutengeneza matokeò yake ķila jimbo na kisha kiwapa DSOs na DED kuyatangaza.

Kama akili yako haielewi nilichoandika na ambacho hata watu wengine wamekishuhudia humu kwenye thread basi wewe ni mlemavu wa akili.

Unaongea kuhusu wangalizi wa kimataifa, hujui hata waangalizi wanafanya nini na mipaka yao ni wapi. Kwani Waangalizi wanafika NEC na kukagua hesabu?
 
Nani kakuambia bajeti haipo? Ni hivi CCM inanufaika na udhalimu haijalishi nani kafanya

JPM alikuwa si mnafiki alitaka mzinduke lakini akili zenu zimelala mnaamini mtapata ahuenj kupitia Samia , nyie ni wapuuzi sana
Kama bajeti ipo, mshinikizeni afute huo uchaguzi. Ni wapi Mimi nimeonyesha kuwa na imani na huyo Samia, au kuamini hizo hadaa zake? Ninachojua Samia Hana siasa za kipuuzi kama dhalimu Magufuli fullstop.
 
MSome jamaa na ujisome tena ulichoandika.
Soma kwa uelewa nakusisitiza.
Ni kipi ameandika kisichoeleweka hapo ww, nimemjibu ninavyotaka Mimi, sio unavyotaka ww. Kama ulikuwa unamuona Magufuli ni kiongozi Bora, Kuna walioona Kaburu Pieter Botha alikuwa mzuri na mzalendo kwa nchi yake.
 
Magufuli hakuwa kiumbe cha Mungu bali alikuwa kiumbe cha shetani,muuaji,jambazi na mnyang'anyi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…