Uchaguzi 2020 Mnataka tuendelee kuwa na Rais wa miundombinu? Ingekuwa miundombinu ndiyo kipaumbele cha mtu wachina wasingekamatwa kwenye makontena wakizamia Ulaya

"...Wanadamu wapo wenye kashukuru, na wapo wasioshukuru.
Wapo walionufaika kwa hayo wewe unaona yasiyomana.... Ndomana nasema , Hata Mungu kwa wema wake na vyote vizuri alivyoviumba, kuna manyumbu Bado yanamuona hafai."
Mmojawapo wewe,Unamuona Mungu hafai kwasababu kakukataza usitukane ila unatukana,ila ungeambiwa na maboss wako wa ccm ungetii kwasababu kwako maboss wako ni zaidi ya Mungu
 
Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli, kujenga viwanja vya ndege na yanayofanana na hayo.

Lakini hebu tujiulize ameyafanya hayo miaka yote 5, Je! Mtanzania wa kawaida anayependa kumuita mnyonge amenufaika na nini? zaidi ya kushuhudia ugumu wa maisha kila kukicha?

Rais ambaye unapotaja maendeleo yeye akilini mwake huja flyover, madaraja, reli na midege huyu hatufai.

Rais amabye unapotaja kuboresha afya yeye akilini mwake huja majengo anayoyaita hospitali bila kuangalia soft elements ambazo ndiyo muhimu mfano idadi ya madaktari wanaolipwa vizuri, madawa na vifaa vya matibabu.

Nawakumbusha watanzania kuwa kwa sasa hakuna nchi yenye miundombinu ya kustaajabisha mfano wa flyovers, madaraja, reli duniani kama China lakini raia wake kila kukicha wanazamia kuja Ulaya, kila siku wanakamatwa kwenye makontena. Ukiwauliza tatizo nini ukiwa unafahamu kuwa China ni nchi tajiri kimiundombinu, watakwambia wanahitaji maisha bora na uhuru.

Sasa huyu kila siku yeye anasema anataka kuifanya Tanzania iwe kama Ulaya sijui anajua China iko Ulaya? ni bora angekuwa anasema anataka kuifanya Tanzania kuwa kama China (kitu amabacho nacho hawezi) tungekubaliana naye lakini kwa ubora wa maisha amekwishafeli.

NI WAKATI SASA WANANCHI KUCHAGUA IKIWA MNATAKA RAIS AMBAYE ATAJENGA MIUNDOMBINU AKIBORESHA MAISHA YENU PIA, AU RAIS AMBAYE KWAKE YEYE MAENDELEO NI MIUNDOMBINU PEKEE BILA KUBORESHA MAISHA HALISI YA MWANANCHI NA KUMPATIA UHURU WAKE.

Ni wakati wa kuchagua Tundu Lissu ili ujengewe miundombinu huku maisha yako na uhuru vikiboreshwa ama John Magufuli ambaye tafsiri ya maendeleo kwake yeye ni ujenzi pekee huku akiminya haki za binadamu na kufuta uhuru wa kujieleza.

Jioni njema
Li jamaa likilala likiamka linawaza mi ndege na treni ya umeme tu, hakuna wananchi wake mifuko imetoka mnoooo
 
Watanzania wanatakiwa kuchagua maisha mazuri au ujenzi wa miundombinu isiyo na tija.
 
Tusingekuwa tunawakamata wa Ethiopia kila wa leo kwenye malori wakati wana bwawa kubwa kiliko Stiegler, wana SGR inayofanya kazi na wana shirika kubwa la ndege,moja ya mashirika makubwa sana Afrika
 
Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli, kujenga viwanja vya ndege na yanayofanana na hayo.

Lakini hebu tujiulize ameyafanya hayo miaka yote 5, Je! Mtanzania wa kawaida anayependa kumuita mnyonge amenufaika na nini? zaidi ya kushuhudia ugumu wa maisha kila kukicha?

Rais ambaye unapotaja maendeleo yeye akilini mwake huja flyover, madaraja, reli na midege huyu hatufai.

Rais amabye unapotaja kuboresha afya yeye akilini mwake huja majengo anayoyaita hospitali bila kuangalia soft elements ambazo ndiyo muhimu mfano idadi ya madaktari wanaolipwa vizuri, madawa na vifaa vya matibabu.

Nawakumbusha watanzania kuwa kwa sasa hakuna nchi yenye miundombinu ya kustaajabisha mfano wa flyovers, madaraja, reli duniani kama China lakini raia wake kila kukicha wanazamia kuja Ulaya, kila siku wanakamatwa kwenye makontena. Ukiwauliza tatizo nini ukiwa unafahamu kuwa China ni nchi tajiri kimiundombinu, watakwambia wanahitaji maisha bora na uhuru.

Sasa huyu kila siku yeye anasema anataka kuifanya Tanzania iwe kama Ulaya sijui anajua China iko Ulaya? ni bora angekuwa anasema anataka kuifanya Tanzania kuwa kama China (kitu amabacho nacho hawezi) tungekubaliana naye lakini kwa ubora wa maisha amekwishafeli.

NI WAKATI SASA WANANCHI KUCHAGUA IKIWA MNATAKA RAIS AMBAYE ATAJENGA MIUNDOMBINU AKIBORESHA MAISHA YENU PIA, AU RAIS AMBAYE KWAKE YEYE MAENDELEO NI MIUNDOMBINU PEKEE BILA KUBORESHA MAISHA HALISI YA MWANANCHI NA KUMPATIA UHURU WAKE.

Ni wakati wa kuchagua Tundu Lissu ili ujengewe miundombinu huku maisha yako na uhuru vikiboreshwa ama John Magufuli ambaye tafsiri ya maendeleo kwake yeye ni ujenzi pekee huku akiminya haki za binadamu na kufuta uhuru wa kujieleza.

Jioni njema
Ulaya kuna wazingu nao wanazamia pia! Wanatumia ID fake kutoroka kwao na kuzamia nchi nyingine! Pia wana zamia hata nchini mwetu Tanzania, kama unabisha nenda uhamiaji ukaulize. Ulaya ukilinganisha na China si lolote.
 
haki za binadam na uhuru unaoutaka ni mifumo iloundwd na fikra za mzungu kwa lengo la kutocolinize milele, serikali yako isipokua karibu na mzungu utaambiwa unaminya uhuru na haki za binadam bt ukiwa nao karibu hata uwe katili vipi hutowasikia wanakujadili coz wananufaika na utawala wako.

mfano mzuri kuna viongozi makatili kama mgabe na mseveni daily wanapindua katiba watakavyo bt huwezi sikia wazungu wakipga kelele coz hawa viongozi ni vibaraka wao.

ni ngumu mo sie waafrika kuendelea ikiwa tutazifanya ndo kila kitu fikra za mzungu anazoziita uhuru na haki za kibinadam, tuunde mifumo yetu ya kidemokrasia itakayoakisi uhalisia wetu na sio kutufanya watumwa kifikra.
 
Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli, kujenga viwanja vya ndege na yanayofanana na hayo.

Lakini hebu tujiulize ameyafanya hayo miaka yote 5, Je! Mtanzania wa kawaida anayependa kumuita mnyonge amenufaika na nini? zaidi ya kushuhudia ugumu wa maisha kila kukicha?

Rais ambaye unapotaja maendeleo yeye akilini mwake huja flyover, madaraja, reli na midege huyu hatufai.

Rais amabye unapotaja kuboresha afya yeye akilini mwake huja majengo anayoyaita hospitali bila kuangalia soft elements ambazo ndiyo muhimu mfano idadi ya madaktari wanaolipwa vizuri, madawa na vifaa vya matibabu.

Nawakumbusha watanzania kuwa kwa sasa hakuna nchi yenye miundombinu ya kustaajabisha mfano wa flyovers, madaraja, reli duniani kama China lakini raia wake kila kukicha wanazamia kuja Ulaya, kila siku wanakamatwa kwenye makontena. Ukiwauliza tatizo nini ukiwa unafahamu kuwa China ni nchi tajiri kimiundombinu, watakwambia wanahitaji maisha bora na uhuru.

Sasa huyu kila siku yeye anasema anataka kuifanya Tanzania iwe kama Ulaya sijui anajua China iko Ulaya? ni bora angekuwa anasema anataka kuifanya Tanzania kuwa kama China (kitu amabacho nacho hawezi) tungekubaliana naye lakini kwa ubora wa maisha amekwishafeli.

NI WAKATI SASA WANANCHI KUCHAGUA IKIWA MNATAKA RAIS AMBAYE ATAJENGA MIUNDOMBINU AKIBORESHA MAISHA YENU PIA, AU RAIS AMBAYE KWAKE YEYE MAENDELEO NI MIUNDOMBINU PEKEE BILA KUBORESHA MAISHA HALISI YA MWANANCHI NA KUMPATIA UHURU WAKE.

Ni wakati wa kuchagua Tundu Lissu ili ujengewe miundombinu huku maisha yako na uhuru vikiboreshwa ama John Magufuli ambaye tafsiri ya maendeleo kwake yeye ni ujenzi pekee huku akiminya haki za binadamu na kufuta uhuru wa kujieleza.

Jioni njema
Mungu aliumba mwanadamu akajaribu kila mmoja ampe kutokana na uwezo wa fikla alizonazo lakini wapo wanaoona mungu kakosea,wanweka Matako,maziwa na nk wapo ambao wanamkufuru na kwa kawaida tumeshazoea kuona madhara ya yale watu wanayolazimisha kumkosoa mungu yakiwadhuru,ukijichubua utapata madhara tu,ukiongeza matako utapata madhara tu,sasa binadamu na hulka zake huwezi kuzuia ila tokea dunia iumbwe hakuna aliyekataa pema akashindwa kupata mabaya,binadamu anaweza kubadilika muda wowote wala si wa kumuamini na siku zote mungu uwapa funzo watu wanaotaka kujaribu sumu,kama si ujasili wa magufuli tusingejenga bwawa rufiji na tusingewavuruga wazungu kuhusu madini,fuatilieni katika historia ya dunia hii nchi iliyoongwa na wanaharakati na mawakili au wanasheria haijawai kupata maendeleo,tutambue kwamba mfumo wa dunia wa jana na leo uliweka utaratibu wa sheria didimizi kwa afrika hivyo wazungu hupata furaha wakipata mtu anyejifanya kuheshimu sheria zao didimizi,sheria za umoja wa mataifa zilitungwa na kuasisiwa na wazungu huyu munaemshadadia ni chaguo lao kwa kutii na kuheshimu sheria zao mtajikuta watanzania mnapiga marktime,tundulisu hafai wala hastaili kuongoza taifa changa kama tanzania inayopigania kuondokana na umaskini wa vitu ndio maana watu wote wa nchi maskini duniani huwaza kwenda ulaya sio kwa sababu ulaya kuna chakula kinagaiwa bule au kuna pesa zinatupwa barabarani la hasha ni kwa sababu ulaya kuna maendeleo ya vitu na na nyenzo za kufanyia hizo kazi,lakini nawaambia kuwa pesa kila mahala ipo isipokuwa watu wanaona bora wakaokote makopo ulaya ambako hawafahamiki kuliko kuokotea hapa nyumbani,mtu anaona bora akalishe ngombe ulaya kuliko bongo,na uwiano wa malipo ni uleule hispokuwa tofauti ni kwamba ukiwa marekani ukipewa dora tano utanunua sawa sawa na aliyelipwa elfu kumi hapa bongo ila kwa vile pesa yetu haina thamani akiituma huku anaona imeongezeka,ila kwa yule anayeishi marekani haina thamani ile kama tz inakuwa ni ya matumizi tu.
 
Huyu mkomunisti furaha yake ni kuumiza watu furaha yake ni kuona watz wakilia aaachi madaraka Leo Wala kesho atawaumiza wengi sana,furaha yake ni kuona tumesambaratika
 
haki za binadam na uhuru unaoutaka ni mifumo iloundwd na fikra za mzungu kwa lengo la kutocolinize milele, serikali yako isipokua karibu na mzungu utaambiwa unaminya uhuru na haki za binadam bt ukiwa nao karibu hata uwe katili vipi hutowasikia wanakujadili coz wananufaika na utawala wako.

mfano mzuri kuna viongozi makatili kama mgabe na mseveni daily wanapindua katiba watakavyo bt huwezi sikia wazungu wakipga kelele coz hawa viongozi ni vibaraka wao.

ni ngumu mo sie waafrika kuendelea ikiwa tutazifanya ndo kila kitu fikra za mzungu anazoziita uhuru na haki za kibinadam, tuunde mifumo yetu ya kidemokrasia itakayoakisi uhalisia wetu na sio kutufanya watumwa kifikra.
Bila wao watawala wa kiafrica wangekuwa wanatubanika live Kama nyama,waafrika hawana uwezo wa kujiongoza Ni lzm wauwane,waibiane,wawaumize wenzao,waibe kodi za wananchi,wapendelee kwao
 
Huyu mkomunisti furaha yake ni kuumiza watu furaha yake ni kuona watz wakilia aaachi madaraka Leo Wala kesho atawaumiza wengi sana,furaha yake ni kuona tumesambaratika
Fanya tafit zako dunia nzima mwanaharakati hawezi leta maendeleo kwa kuwa wengi wao wanaangalia upande mmoja.
 
Mwanaharakati utengeneza mazingira ya kuleta maendeleo
Wanaharakati hawaletagi maendeleo kwenye nchi,ni watu ambao hawawezi kuendesha nchi kwa sababu mara zote wao huwa na mitazamo ya upande mmoja ndio maana katika dunia hii nchi tajili zinajitaidi kuzifanyia nchi maskini kila fitna na uchochozi ili zisipate maendeleo ya kifikla kwa sababu wanajua kuwa kitendo cha nchi kujitambua kitapunguza masoko na unyan'ganyi wao,hivyo kumuweka rais mtiifu kwao ni furaha kubwa.
 
Back
Top Bottom