GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkiambiwa Waafrika tuungane tulijenge Bara letu, kwani Wazungu huwa hawatupendi hatusikii na tunawapenda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wenzako humu wanajiona wao na wazungu ni kitu kimoja, utasikia nyinyi wavaa kobazi mmegundua nini!?..yaani yeye mvaa skuna Kama trumpMkiambiwa Waafrika tuungane tulijenge Bara letu, kwani Wazungu huwa hawatupendi hatusikii na tunawapenda tu.
Umenifanya niangalie mwanzo wa hii interview, mbona sijaona mahali Trump amezingua? In fact huyu mdada wa kwanza ndo anazingua hajibu salamu na anauliza in a very harsh way but Trump being Trump he gave her what she deserved.Mkiambiwa Waafrika tuungane tulijenge Bara letu, kwani Wazungu huwa hawatupendi hatusikii na tunawapenda tu.
Umenifanya niangalie mwanzo wa hii interview, mbona sijaona mahali Trump amezingua? In fact huyu mdada wa kwanza ndo anazingua hajibu salamu na anauliza in a very harsh way but Trump being Trump he gave her what she deserved.
Unamuongelea Trump yupi? Maana kuna watu mna versions zenu za Trumps mifukoni na kwenye simu zenu..Donald Trump ni tapeli, mwizi, na mbaguzi.
..huyu bwana amewapa sauti, na kuwainua Wamarekani weupe wabaguzi.
..Trump anataka kuirudisha Marekani ktk zama za ubaguzi za miaka ya 50 na 60. Maana watu mna version yenu.zenu za Trumps mifukoni
Kwani waarabu, wahindi, wachina, warusi na weupe wengine wanatupenda?? Tupambane tu na hali zetu, weupe wote wanatupenda kinafki tuKuna wenzako humu wanajiona wao na wazungu ni kitu kimoja, utasikia nyinyi wavaa kobazi mmegundua nini!?..yaani yeye mvaa skuna Kama trump
Unamuongelea Trump yupi? Maana kuna watu mna versions zenu za Trumps mifukoni ma kwenye simu zenu
Wapi trump alionesha ubaguzi kwa watu weusi ?..Trump ni mhuni tu ambaye limefanikiwa kuwapumbaza Wamarekani weupe wabaguzi.
..Marekani baada ya kumchagua Obama ilikuwa inaondoka ktk chuki za ubaguzi lakini Trump ameingia na kuirudisha nyuma Marekani.
..pia Trump ni muongo kwa kuendelea kudai kwamba aliibiwa uchaguzi iliyopita.
..Madai ya Trump kuwa aliibiwa uchaguzi yamekanushwa hata na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wake.
..Marekani inahitaji kiongozi atakaye waunganisha wananchi wake wote, bila kujali rangi zao. Badala ya Trump anayechochea ubaguzi baina ya Wamarekani.
Wapi trump alionesha ubaguzi kwa watu weusi ?
Bado ni hoja za kitoto sana...ameshatoa matamko mengi ya kibaguzi dhidi ya watu weusi wa Marekani.
..hata nchi za Kiafrika aliziita " shit hole " countries.
..hata kwenye hayo mahojiano majibu yake yanaonyesha ni mtu asiye mstaarabu kwa wanawake, na watu weusi.
..wafuasi wake wengi ni Wamarekani weupe wenye misimamo ya kibaguzi dhidi ya watu weusi, na wahamiaji wa Marekani wasio weupe.
Bado ni hoja za kitoto sana.
Mimi nimemsikiliza trump kwenye clip zake kibao ni mtu ana madini sana.
Kuwaponda watu weusi haujaweka ushahidi wa kutosha bali unadokoa tu.
Lakini pia kuita Afrika shit hole kama alikuwa na hoja za msingi yuko sahihi kabisa na mimi nitamuunga mkono hoja muhimu tu usimlishe maneno.
Bado sijaona hoja za msingi za kumuita trump mbaguzi maana hausemi.
Bado ni hoja za kitoto sana.
Mimi nimemsikiliza trump kwenye clip zake kibao ni mtu ana madini sana.
Kuwaponda watu weusi haujaweka ushahidi wa kutosha bali unadokoa tu.
Lakini pia kuita Afrika shit hole kama alikuwa na hoja za msingi yuko sahihi kabisa na mimi nitamuunga mkono hoja muhimu tu usimlishe maneno.
Bado sijaona hoja za msingi za kumuita trump mbaguzi maana hausemi.
💯Marekani haitaongozwa na Mwanamke kamwe.
Hata huku kwetu viongozi wa upinzani huws na madai ya kuibiwa kura,madai hayo yanabaki ni maoni yao binafsi hasa yanapokuwa hayana uthibitisho na wala madai hayo hayatupi sisi concludion ya kwamba watu hao ni wabaguzi...vipi kuhusu madai yake kwamba aliibiwa uchaguzi
Madai yake hayo hayana mahusiano na ubaguzi unaoudai.mahakama mbalimbali zimetupilia mbali madai hayo lakini bado Trump ameendelea kudai ameibiwa uchaguzi.
Waliompa kura akawa raisi hawakuona utapeli huo mpaka wampe kura na wewe ndio huo utapeli umeuona kuliko waliompa kura?vipi kuhusu utapeli aliofanya ktk biashara zake kabla ya kuwa Raisi?
KWA NINI walimpa kura akawa raisi wakati wanajua ni tapeli ?ipi kuhusu utapeli aliofanya ktk biashara zake kabla ya kuwa Raisi? Unakumbuka jinsi alivyotapeli fedha za watu ktk mradi wake wa " Trump University "?
Kwa nini skawa raisi wa marekani licha ya utapeli huo,au wamarekani hawamjui badala yake wewe ndo unamjua zaidi trump ?Mtu mwenye kashfa za utapeli na udanganyifu wa kiwango cha Trump hakupaswa kushika nafasi ya uongozi, sembuse Uraisi wa Marekani.
Hata huku kwetu viongozi wa upinzani huws na madai ya kuibiwa kura,madai hayo yanabaki ni maoni yao binafsi hasa yanapokuwa hayana uthibitisho na wala madai hayo hayatupi sisi concludion ya kwamba watu hao ni wabaguzi.
Madai yake hayo hayana mahusiano na ubaguzi unaoudai.
Waliompa kura akawa raisi hawakuona utapeli huo mpaka wampe kura na wewe ndio huo utapeli umeuona kuliko waliompa kura?
KWA NINI walimpa kura akawa raisi wakati wanajua ni tapeli ?
Je utapeli huo aliwatapeli watu weusi pekee hawakuwepo wazungu ?
Kuna mahusiano gani kati ya utapeli na ubaguzi ?
Kwa nini skawa raisi wa marekani licha ya utapeli huo,au wamarekani hawamjui badala yake wewe ndo unamjua zaidi trump ?