"Mnatuchukuliaje? Watumwa wenu?" Waziri mkuu wa Pakistan awachana EU kwa kuishinikiza Pakistan kuilaani Russia

"Mnatuchukuliaje? Watumwa wenu?" Waziri mkuu wa Pakistan awachana EU kwa kuishinikiza Pakistan kuilaani Russia

Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amewacha viongozi wa Umoja wa Ulaya kufuatia viongozi hao kuikosoa Pakistan juu ya msimamo wake wa kukalia kimya vita ya Russia nchini Ukraine.

Pakistan imekuwa ktkshinikizo la kutakiwa kuilaani Russia kwa operesheni hiyo ya kijeshi nchini Ukraine ikizingatiwa kuwa waziri mkuu huyo alikuwepo Moscow siku ambayo operesheni hiyo ya kijeshi ilizinduliwa (siku ya kuvamiwa Ukraine).

Waziri Mkuu huyo amesema nchi za Ulaya ziachane na kuikosoa Pakistan juu ya msimamo wake wa kuwa nyutro (kutochukua upande wowote) ktk jambo hilo.

Hivi mnatuchukuliaje? Watumwa wenu? Hata tuwe twapaswa kufanya chochote mnachokizungumza? Bwana Imran Khan alizungumza kwenye kongamano la kisiasa.

Maneno hayo ya Waziri Mkuu yanafuatia barua iliyoandikwa na jumuia ya Ulaya na kupatiwa mabalozi wa jumuia hiyo kuiwasilisha ktk serikali ya Pakistan ikiitaka Pakistan kuilaani Russia. Waziri mkuu huyo akawauliza EU mbona hamjawapelekea barua kama hiyo India? Ikiwa hata India nao wameamua kutoilaani Russia kama tulivyofanya sisi (Pakistan)?

View attachment 2142549
Pichani: Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan

===

March 7, 2022

What do you consider us? Your slaves?' Pakistani PM Khan lashes out at Europe over Ukraine stance

Pakistan’s Prime Minister Imran Khan has lashed out at EU criticism of Islamabad for its refusal to speak out against Russia's invasion of Ukraine.

Pakistan has been under growing pressure to condemn Moscow's brutal assault on Ukraine with Khan in the Russian capital when the invasion was launched.

He said that European countries should stop their criticism of Pakistan over its decision to remain 'neutral' on the matter.

"What do you consider us? Your slaves? That we should do whatever you say?" he said at a political rally.

His comments were in response to a 1 March letter by 22 Pakistan-based foreign envoys urging Islamabad to reprimand Moscow for its brutal invasion of Ukraine before a vote in the UN General Assembly (UNGA) on 2 March.

Pakistan eventually abstained from voting at the UNGA, while the overwhelming majority of countries condemned Moscow's heinous actions against its neighbour.

"I want to ask the European Union ambassadors: Did you write such a letter to India?" Imran Khan said, noting that New Delhi has also not directly condemned Moscow.

Jamaa linajiamini. Halafu litampelekea Putin tani za kutosha za ngano kama msaada.
 
Hivi kwanini waafrika weusi wanadhani wapo level moja na waarabu?
Waarabu wako mbali sana kucompare na waafrika.

huo ndio ukweli mchungu na ukubali tu kwamba mwafrika bado yuko chini sana solution ni kuacha kuvuta wengine shimoni bali ni kunyanyuka.
Na hii ndio maana ni ngumu kwa afrika kuendelea kwa akili fupi kama hizi sababu anataka wengine wawe kama yeye na hakubali ukweli kuwa yuko alone.

Ukweli ni kwamba uko level ya chini sana mkuu kwenye kila kitu ukijilinganisha na hao arabs kwenye Uchumi, Technology, Elimu na Maendeleo ya nchi kiujumla.
And let me guess wewe lazima utakuwa mkristo maana wengi ndio mna mindsets kama hizi.

Tell me I'm wrong.
Daaa; umeongea vizuri lakini sijaona uhusiano wa dini hapa mkuu; umefikiaje mwafaka huo mkuu!?
 
Hivi unajua umuhimu wa nchi kama Pakistan Geopolitically katika Dunia ya sasa?

Comment yako imeonyesha "hujui chochote", yaani upo upo tu..

Je, unajua kwa nini Pakistan ni "Mboni ya jicho" ya taifa la China? Yaani ukimzingua Pakistan ujue China lazima aingilie? Bila shaka hujui lolote kuhusu hili?

Sometime ni bora kuficha ujinga wako kuliko kujidhalilisha hadharani.
Huu ujinga ulioleza hapa wala sina sababu ya kujibu.
 
Hivi kwanini waafrika weusi wanadhani wapo level moja na waarabu?
Waarabu wako mbali sana kucompare na waafrika.

huo ndio ukweli mchungu na ukubali tu kwamba mwafrika bado yuko chini sana solution ni kuacha kuvuta wengine shimoni bali ni kunyanyuka.
Na hii ndio maana ni ngumu kwa afrika kuendelea kwa akili fupi kama hizi sababu anataka wengine wawe kama yeye na hakubali ukweli kuwa yuko alone.

Ukweli ni kwamba uko level ya chini sana mkuu kwenye kila kitu ukijilinganisha na hao arabs kwenye Uchumi, Technology, Elimu na Maendeleo ya nchi kiujumla.
And let me guess wewe lazima utakuwa mkristo maana wengi ndio mna mindsets kama hizi.

Tell me I'm wrong.
Siku hizi itakuwa umefuzu shule yako ya ujinga, kuanzia wapistani wamekuwa waarabu ?
 
UN inajivunjia heshima kwa upumbavu Kama huu.

Kumbe zile kauli za kulaani Ni masharti ya UN,

yaani ni sawa na mshenga badala ya kusuluhisha ndoa ya watu yeye anaanza kulaumu yule kakosea alaaniwe.

TAKA TAKA KABISA HAO UN
 
Mkuu....ila tuseme tu ukweli .....unaweza kunitofautishia mamlaka ya UN na USA kweny international affairs......binafsi naona USA ana dominate UN
 
Mkuu....ila tuseme tu ukweli .....unaweza kunitofautishia mamlaka ya UN na USA kweny international affairs......binafsi naona USA ana dominate UN
USA ndo mchangiaji mkubwa was bajeti zote za UN. Wengine wasindikizaji TU.

Lazima awe na sauti, pale anapokua na Jambo lake.

Sasa Hawa bendela fata upepo,
Wanafata hata Yale ya hovyo kisa mwenye pesa kasema.
 
Mbona tz,hatuja pata barua kama hiyo,[emoji23].hata sisi ni dona country bana,sema majuz tu tevishwa koti la umaskini na .......!!!!
 
"Синьо-жовтий птах летить високо над Чорним морем!" - 2008 я перекладав слова Пола Маккартні для телетрансляції його концерту на Майдані Незалежності в Києві. Щоправда, МАККА більше співав, ніж говорив. Та ще й чимало говорив українською) Слухайте, думайте Урок української від Пола Маккартні. ЧАС БУТИ РАЗОМ
Baba umetisha sanaaa baba unyaaama mwingi sanaaa lakini baba hebu tutafsirie kwa kinyantuzu hiko kimoscow moscow
 
Hakuna anayepoteza ushawishi sana sana utakuta Pakistaní wenyew ndio wataumia
Watu humu wanaongelea kiushabiki sana aisee, imagine nchi zote za EU na wapambe wake wawe against you, kwa hii dunia kiuchumi umekwisha, hata huyo kichaaa wao Puttin it's a matter of time tuu wananchi wake wakianza kuonja joto la jiwe hakutakalika. Imagine eti amekamata na kuweka korokoroni waandamanaji elfu 10 na bado watu wanaandamana.
 
Huijui Pakistan wewe, bora ukalale...

Hao NATO wenyewe wameona kuna umuhimu wa hiyo Pakistan kuzungumzia jambo hilo. Wamepoteza muda wao kuandika barua na kutuma mabalozi wa NATO kuipeleka barua hiyo Pakistan.

Kwani umeona barua kama hiyo mmetumiwa Tanzania?!

Pakistani ipo kwenye top ten (nafasi ya 9 kati ya nchi 140 Duniani) kwa nguvu za kijeshi kwa mujibu wa utafiti wa Global Fire Power. Wakati Tanzania ikishika nafasi ya 113.

View attachment 2142916
View attachment 2142917
Hao Pakistan wake makomandoo waliingia nchini mwao, wakamuua Osama na kuondoka naye, huku wao wamelala usingizi wala wasijue what happened [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baba umetisha sanaaa baba unyaaama mwingi sanaaa lakini baba hebu tutafsirie kwa kinyantuzu hiko kimoscow moscow
The ONLY reason republicans are backing the Russian oil ban is so they can blame gas prices on Biden in an election year. If they actually gave a shit about Ukraine, they’d have voted to impeach and remove donald when he withheld aid from and extorted Zelenskyy.
 
Back
Top Bottom