"Mnatuchukuliaje? Watumwa wenu?" Waziri mkuu wa Pakistan awachana EU kwa kuishinikiza Pakistan kuilaani Russia

Bora khan kasema ukweli.
Haya Mambo ndo waliyafanya kwa mababu zetu kwenye Vita vikuu vya dunia.vita waanzishe wao wanataa na nyie mpigane. Mkijitenga unaonekana wabaya.
Sasa sisi tupigane tumechokozwa na Nani?
 
USA na wenzake watapoteza ushawishi sana baada ya mgogoro huu, kwan Waarabu ndo kabisa hawamuelwi toka zaman sema wanamtafutia mbadalaa wake ambaye atakuwa Russia

Uko sahihi mkuu, yaani hadi Saudia na Umoja wa Falme za kiarabu (UAE) wameamua kuwa nyutro ili kulinda mahusiano yao na Russia na pia maslahi yao na Russia

View attachment 2142568

Mabepari mnaambiwa mbalance shobo

Hivi kwanini waafrika weusi wanadhani wapo level moja na waarabu?
Waarabu wako mbali sana kucompare na waafrika.

huo ndio ukweli mchungu na ukubali tu kwamba mwafrika bado yuko chini sana solution ni kuacha kuvuta wengine shimoni bali ni kunyanyuka.
Na hii ndio maana ni ngumu kwa afrika kuendelea kwa akili fupi kama hizi sababu anataka wengine wawe kama yeye na hakubali ukweli kuwa yuko alone.

Ukweli ni kwamba uko level ya chini sana mkuu kwenye kila kitu ukijilinganisha na hao arabs kwenye Uchumi, Technology, Elimu na Maendeleo ya nchi kiujumla.
And let me guess wewe lazima utakuwa mkristo maana wengi ndio mna mindsets kama hizi.

Tell me I'm wrong.
Haya Kiko wapi na waziri wenu
 
Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amewacha viongozi wa Umoja wa Ulaya kufuatia viongozi hao kuikosoa Pakistan juu ya msimamo wake wa kukalia kimya vita ya Russia nchini Ukraine.

Pakistan imekuwa ktkshinikizo la kutakiwa kuilaani Russia kwa operesheni hiyo ya kijeshi nchini Ukraine ikizingatiwa kuwa waziri mkuu huyo alikuwepo Moscow siku ambayo operesheni hiyo ya kijeshi ilizinduliwa (siku ya kuvamiwa Ukraine).

Waziri Mkuu huyo amesema nchi za Ulaya ziachane na kuikosoa Pakistan juu ya msimamo wake wa kuwa nyutro (kutochukua upande wowote) ktk jambo hilo.

Hivi mnatuchukuliaje? Watumwa wenu? Hata tuwe twapaswa kufanya chochote mnachokizungumza? Bwana Imran Khan alizungumza kwenye kongamano la kisiasa.

Maneno hayo ya Waziri Mkuu yanafuatia barua iliyoandikwa na jumuia ya Ulaya na kupatiwa mabalozi wa jumuia hiyo kuiwasilisha ktk serikali ya Pakistan ikiitaka Pakistan kuilaani Russia. Waziri mkuu huyo akawauliza EU mbona hamjawapelekea barua kama hiyo India? Ikiwa hata India nao wameamua kutoilaani Russia kama tulivyofanya sisi (Pakistan)?

View attachment 2142549
Pichani: Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan

===

March 7, 2022

What do you consider us? Your slaves?' Pakistani PM Khan lashes out at Europe over Ukraine stance

Pakistan’s Prime Minister Imran Khan has lashed out at EU criticism of Islamabad for its refusal to speak out against Russia's invasion of Ukraine.

Pakistan has been under growing pressure to condemn Moscow's brutal assault on Ukraine with Khan in the Russian capital when the invasion was launched.

He said that European countries should stop their criticism of Pakistan over its decision to remain 'neutral' on the matter.

"What do you consider us? Your slaves? That we should do whatever you say?" he said at a political rally.

His comments were in response to a 1 March letter by 22 Pakistan-based foreign envoys urging Islamabad to reprimand Moscow for its brutal invasion of Ukraine before a vote in the UN General Assembly (UNGA) on 2 March.

Pakistan eventually abstained from voting at the UNGA, while the overwhelming majority of countries condemned Moscow's heinous actions against its neighbour.

"I want to ask the European Union ambassadors: Did you write such a letter to India?" Imran Khan said, noting that New Delhi has also not directly condemned Moscow.

Alidhani akisema hivyo hatanyofolewa kwenye uwaziri mkuu
 
Bunge limeshamuondoa madarakani avumilie labda russia itamrudisha tena madarakani maana ni supa pawa kwa sasa baada ya US kuangushwa na urusi!!
 
Wazungu hawaamini kuwa vita ipo barani kwao...washenzi sana
 
Hivi Pakistan ni nchi ya kutolea mfano, huyu wangemshauri apambane na makundi ya kigaidi huko nchini kwake wala siyo kumwambia mambo ya Urusi.
Huelewi! Ungeelewa, usingesema ulichosema! Sijui kwa nini watanzania tunakurupuka sana kutoa majibu!
 
Huijui Pakistan wewe, bora ukalale...

Hao NATO wenyewe wameona kuna umuhimu wa hiyo Pakistan kuzungumzia jambo hilo. Wamepoteza muda wao kuandika barua na kutuma mabalozi wa NATO kuipeleka barua hiyo Pakistan.

Kwani umeona barua kama hiyo mmetumiwa Tanzania?!

Pakistani ipo kwenye top ten (nafasi ya 9 kati ya nchi 140 Duniani) kwa nguvu za kijeshi kwa mujibu wa utafiti wa Global Fire Power. Wakati Tanzania ikishika nafasi ya 113.

View attachment 2142916
View attachment 2142917
Kumekucha huko 🇲🇷🇲🇷🇲🇷 kibaraka wa Putin wamemng'oa .
 
Lakini kasema ukweli.
Yaani mtu unagombana nae wewe ila na Mimi unataka nigombane nae
Mfano wewe na mimi ni majirani tumegombana , harafu anatokea mtu anakuja nyumbani kwangu anakamata kipaza sauti anasema "TUSICHAGULIANE MARAFIKI " hivi utamuelewa mtu huyo?.
 
Sio kazi rahisi ki hivyo!!Urusi au china sio leo wala kesho kuwa taifa lenye ushawishi duniani kama ilivyo USA, kutokana na kutokuwa na sifa hizi, nguvu ya kiuchumi, ki siasa na ki utamaduni.
Nguvu za kiuchumi za USA zimetengenezwa kupitia hela yao USD na SKU control siasa za Nchi za Ulaya& Arabs.Ushawishi katika siasa za Asia unapungua siku hadi siku,kwenye uchumi baada ya hii vita tayari kuna mtikisiko tena mkubwa.

Kinachoendelea kumbeba in ushawishi wake katika siasa za Ulaya mashariki-kwa kutumia mgogngo wa Urusi kuwalaghai EU.Katika hili baada ya hii vita taa nyekundu imisha waka katika Nchi hizo.
 
Mbona msimamo wake wa kishujaa.Kwanini sasa ametolewa madarakani.Au athari ya propaganda za magharibi kama yaliyompata Gadafi baada ya kutoa hotuba UNGA ya kuIponda UN na kuibeza US.
 
"Синьо-жовтий птах летить високо над Чорним морем!" - 2008 я перекладав слова Пола Маккартні для телетрансляції його концерту на Майдані Незалежності в Києві. Щоправда, МАККА більше співав, ніж говорив. Та ще й чимало говорив українською) Слухайте, думайте Урок української від Пола Маккартні. ЧАС БУТИ РАЗОМ
Hapo umenena
 
Sawa siwezi kumchukia.si kaamua kuchagua upande anaotaka.?
Kwanini nimlazimishe awe upande wangu.
Mimi kuna watu nimegombana nao lakini kuna marafiki zangu wanaongea nao na sioni tatizo Wala kuwapangia.yaani usiongee na fulani kisa nimegombana nae.
Sio Sawa
Mfano wewe na mimi ni majirani tumegombana , harafu anatokea mtu anakuja nyumbani kwangu anakamata kipaza sauti anasema "TUSICHAGULIANE MARAFIKI " hivi utamuelewa mtu huyo?.
 
Kumekucha huko 🇲🇷🇲🇷🇲🇷 kibaraka wa Putin wamemng'oa .
Ni ujinga tu wa siasa za Pakistan ndio umekufanya kuelewa hivyo na kuona ajabu...

Pakistan sio Tanzania, Pakistani imekuwa na mawaziri wakuu 29 toka mwaka 1947, na kati ya hao wote hakuna hata mmoja aliyemaliza kipindi kamili cha uongozi wake (miaka 5)

Kuondoka kwa Imran Khan ofisini hakuifanyi Pakistan kuwa kibaraka wa Marekani...

Endelea kuwa mtumwa wa Marekani, we si waona heshima utumwa?!

Screenshot_20220410-120321_Gallery.jpg
 
Bunge limeshamuondoa madarakani avumilie labda russia itamrudisha tena madarakani maana ni supa pawa kwa sasa baada ya US kuangushwa na urusi!!
Ni ujinga tu wa siasa za Pakistan ndio umekufanya kuelewa hivyo na kuona ajabu...

Pakistan sio Tanzania, Pakistani imekuwa na mawaziri wakuu 29 toka mwaka 1947, na kati ya hao wote hakuna hata mmoja aliyemaliza kipindi kamili cha uongozi wake (miaka 5)

Kuondoka kwa Imran Khan ofisini hakuifanyi Pakistan kuwa mtumwa/
Screenshot_20220410-120321_Gallery.jpg
kibaraka wa Marekani...

Endelea kufurahia utumwa (wa Marekani), sio ajabu kwa mtu mweusi kupenda utumwa...Imran Khan na wapakistani wote kwa ujumla hawana asili ya kupenda Utumwa
 
Ni ujinga tu wa siasa za Pakistan ndio umekufanya kuelewa hivyo na kuona ajabu...

Pakistan sio Tanzania, Pakistani imekuwa na mawaziri wakuu 29 toka mwaka 1947, na kati ya hao wote hakuna hata mmoja aliyemaliza kipindi kamili cha uongozi wake (miaka 5)

Kuondoka kwa Imran Khan ofisini hakuifanyi Pakistan kuwa kibaraka wa Marekani...

Endelea kuwa mtumwa wa Marekani, we si waona heshima utumwa?!

View attachment 2182510
sorry mkuu unaweza kunipitisha kidogo historia ya taifa hili ? Maana nimeshangaa prime ministers 29 duu.
Tatizo nini hawa siasa zao .?
 
Ni ujinga tu wa siasa za Pakistan ndio umekufanya kuelewa hivyo na kuona ajabu...

Pakistan sio Tanzania, Pakistani imekuwa na mawaziri wakuu 29 toka mwaka 1947, na kati ya hao wote hakuna hata mmoja aliyemaliza kipindi kamili cha uongozi wake (miaka 5)

Kuondoka kwa Imran Khan ofisini hakuifanyi Pakistan kuwa kibaraka wa Marekani...

Endelea kuwa mtumwa wa Marekani, we si waona heshima utumwa?!

View attachment 2182510
Hii nchi nguumu saana......na hawa jamaa ishu yao ilianza kabla hata ya mrusi kuvamia huko ukraine ila wengi wanafikiri ametolewa sababu ya kutounga mkono mambo ya mabepari
Screenshot_20220410-121452_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom