Mnatumia nyembe gani?

Mbona kuna vimashine vizuri tu vya kunyolea vinauzwa na wamachinga shing 15,000 tu (kama sijakosea). Mi nilinunua nadhani kina miaka zaidi ya 8 sasa. Kinatumia betri ndogo mbili.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mimi nilijifunzia kwenu huko...
Hongera, kwa hiyo saivi kinapanda?

Ila vile ulivyo ongea kile sio cha kujifunza,kile ni chenyewe haswa.
 
Hongera, kwa hiyo saivi kinapanda?

Ila vile ulivyo ongea kile sio cha kujifunza,kile ni chenyewe haswa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kinapanda vizuri sana..

Ongea taratibu basi....usichome Watatufurumusha hapa[emoji28]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kinapanda vizuri sana..

Ongea taratibu basi....usichome Watatufurumusha hapa[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa bwana , nitakuchokoza sehemu nyingine na wakati mwingine kukupima
 
Wewe ni mhenga mwenzangu.Mpaka Nacet chapa mamba unaikumbuka.
 
Siku hizi wajanja hawatumii hayo mabati.
Mambo yote ni kwenye Brazilian wax.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…