Mnatumia nyembe gani?

Mnatumia nyembe gani?

Mbona kuna vimashine vizuri tu vya kunyolea vinauzwa na wamachinga shing 15,000 tu (kama sijakosea). Mi nilinunua nadhani kina miaka zaidi ya 8 sasa. Kinatumia betri ndogo mbili.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mimi nilijifunzia kwenu huko...
Hongera, kwa hiyo saivi kinapanda?

Ila vile ulivyo ongea kile sio cha kujifunza,kile ni chenyewe haswa.
 
Hongera, kwa hiyo saivi kinapanda?

Ila vile ulivyo ongea kile sio cha kujifunza,kile ni chenyewe haswa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kinapanda vizuri sana..

Ongea taratibu basi....usichome Watatufurumusha hapa[emoji28]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kinapanda vizuri sana..

Ongea taratibu basi....usichome Watatufurumusha hapa[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa bwana , nitakuchokoza sehemu nyingine na wakati mwingine kukupima
 
Tatizo bongo zikiletwa nyembe kali zikateka soko jua hazitodumu maana zitajazwa feki zake na kuziharibia soko.
Mfano Topaz OG zilikuwa balaa baadaye zikaja fekelo hadi zimeondoka sokoni.

Hata hizi Rungu max zinafungashwa na kampuni zaidi ya moja na feki ndio zimetamalaki.
All in all kiwembe kilikuwa Nacet then kikafuata Perma Sharp
Wewe ni mhenga mwenzangu.Mpaka Nacet chapa mamba unaikumbuka.
 
Nina Uhakika Tanzania nzima hakuna mtu asiyetumia Nyembe kwa kazi tofauti tofauti mi Naulizia hasa kwa matumizi ya Kunyolea nywele zote zilizopo katika Mwili wa Mwanaadamu.

Ni zipi Nyembe bora maana siku Hizi Kampuni nyingi huku Uswahilini Kuna DORO lakini naona kama sizielewi siku hizi.
Siku hizi wajanja hawatumii hayo mabati.
Mambo yote ni kwenye Brazilian wax.
 
Back
Top Bottom