Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alshaabab ndio wembe noma,unachanja hadi kuniUnakata hadi machungwaView attachment 2294493
Hongera, kwa hiyo saivi kinapanda?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mimi nilijifunzia kwenu huko...
Picha ya nini? Nikiwa nanyoa zivu?Tuone picha mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hongera, kwa hiyo saivi kinapanda?
Ila vile ulivyo ongea kile sio cha kujifunza,kile ni chenyewe haswa.
Mapele kuawasha[emoji41]Uliteseka kufanyaje mkuu?
Sana[emoji23],wakati sio kawaida.Vipi binam, kimbunye kiliota vipele na muwasho mkali?
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa bwana , nitakuchokoza sehemu nyingine na wakati mwingine kukupima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kinapanda vizuri sana..
Ongea taratibu basi....usichome Watatufurumusha hapa[emoji28]
Wewe ni mhenga mwenzangu.Mpaka Nacet chapa mamba unaikumbuka.Tatizo bongo zikiletwa nyembe kali zikateka soko jua hazitodumu maana zitajazwa feki zake na kuziharibia soko.
Mfano Topaz OG zilikuwa balaa baadaye zikaja fekelo hadi zimeondoka sokoni.
Hata hizi Rungu max zinafungashwa na kampuni zaidi ya moja na feki ndio zimetamalaki.
All in all kiwembe kilikuwa Nacet then kikafuata Perma Sharp
Siku hizi wajanja hawatumii hayo mabati.Nina Uhakika Tanzania nzima hakuna mtu asiyetumia Nyembe kwa kazi tofauti tofauti mi Naulizia hasa kwa matumizi ya Kunyolea nywele zote zilizopo katika Mwili wa Mwanaadamu.
Ni zipi Nyembe bora maana siku Hizi Kampuni nyingi huku Uswahilini Kuna DORO lakini naona kama sizielewi siku hizi.
Nakazia!Gillette...
Sawa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] sawa bwana , nitakuchokoza sehemu nyingine na wakati mwingine kukupima
Ukisikia kwenye miti hakuna wajenzi ndo hiyo sasa!mbonahukatiihizokucha 🏃♀️🏃♀️
Pole sana mkuu.Mapele kuawasha[emoji41]
Pole sana binam. BIC hata vile vimashine vyao ni vizuri.Sana[emoji23],wakati sio kawaida.