Khaaa
Hivi nikibadili ID nadanganya eeehh, asa namdanganya nani!!
Yaani watu wakiona Avatar wanaImagine kabisa mimi ni "emollo"Unapishana na bahati mkuu!! Du ze nidifuli
Ndiwooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee kwaiyo wewe na babe wako mpo JF
Utajuaje sasa kama kuna mtu kanitibua!Sasa unaficha nn na wakat tushakuzoea sakayo huyu unaficha kip tusikijue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani watu wakiona Avatar wanaImagine kabisa mimi ni "emollo"
Wana runa away !!
Daah
Utajuaje sasa kama kuna mtu kanitibua!
Hivi wakuu nyie mnapata wakati mgumu kama ninaoupata mimi? Hizi IDs za kuanzia 2017 hadi leo 2019 zenye vipost chini ya buku na hazijawahi kuanzisha uzi mnaendaje nazo sambamba nyie?
Halafu zote zina miandiko mizuri mizuri viavatar vizuri na viemoj vizuri vizuri.
Hata ukisema ujaribu kutongoza unajisemea usikute ni fulani yule kaja kwa sura mpya.
swali langu nyie ni wapya au wale wale? Mliobahatika kuingia vyumbani vipi ni wale wale au hawa wapya!
Nani atakutibua eti wewe kivuruge!Ahaaa kumbe ukitibuliwa tu unabadl Id bas ngoja nitibuliwe na mm
Halafu hata wewe umabadili sana! Mwishowe ukarudi pale pale!Mimi pia nimeshtuka siku hizi mtu mmoja ana IDs kumi.
Njoo banaUmenitisha mkuu Pm siendi tena
Ha ha ha ha mim nna moyo na hisia ujue so kutibuliwa nje nje sema tu huwa naweka kwenye dustbin fastaNani atakutibua eti wewe kivuruge!
Oooohhh!Ha ha ha ha mim nna moyo na hisia ujue so kutibuliwa nje nje sema tu huwa naweka kwenye dustbin fasta
Huwezi kua siriaz binti..Brand kubwa hiyo mimi nilidhani y2 kama mimi
Halafu hata wewe umabadili sana! Mwishowe ukarudi pale pale!
Njoo bana