Mnatupa wakati mgumu saana.

Mnatupa wakati mgumu saana.

Bora hata Wewe mzee baba.
Mimi wife asubuhi alishika simu yangu, nimelala.. Ghafla kasema "endelea kulala ukiamka utanambiy Suzy ni nani "..

Siku ya 3 hii Leo sijaamka nimelala tu
 
Mimi pia nimeshtuka siku hizi mtu mmoja ana IDs kumi.
Hivi wakuu nyie mnapata wakati mgumu kama ninaoupata mimi? Hizi IDs za kuanzia 2017 hadi leo 2019 zenye vipost chini ya buku na hazijawahi kuanzisha uzi mnaendaje nazo sambamba nyie?

Halafu zote zina miandiko mizuri mizuri viavatar vizuri na viemoj vizuri vizuri.

Hata ukisema ujaribu kutongoza unajisemea usikute ni fulani yule kaja kwa sura mpya.

swali langu nyie ni wapya au wale wale? Mliobahatika kuingia vyumbani vipi ni wale wale au hawa wapya!
 
Kuna mtu anatafutwa sasa naona kama unaogopa kufumaniana na ambae ushampitia
 
Back
Top Bottom