Mnatupa wakati mgumu saana.

Hata bado sijaelewa!
Mimi alinifungulia akaunti mwenyeji wa humu.
Kwahiyo PM hapafai kwenda eeh?
Kwani mnaendaga kufanya nini?
 
Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!

Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!

Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!
Ha ha ha kudadeki na ww babe wako lazma awepo mule amekula mtu kimasihara halaf mwenye mume hujui hapo sasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…