NaddySL
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 995
- 5,192
Hata bado sijaelewa!Hahahahahaahahah
I believe you, lakini hebu angalia screenshots zifuatazo
View attachment 1308008
Paula ndio hajui PM ni wapi ila mnaofuata mnapajua
View attachment 1308010
View attachment 1308011
View attachment 1308012
Kwa hiyo MKUU NaddySL sidanganyiki na siji PM ng'oooo😀😀😀😀😀😀😀😀
Mimi alinifungulia akaunti mwenyeji wa humu.
Kwahiyo PM hapafai kwenda eeh?
Kwani mnaendaga kufanya nini?