Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Nyau wengi ni wale wale...muendelezo wa maambukizi hahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu, utasema umeokota pisi ya maana kumbe njemba ina midevu mpaka mgongoni inakuchora tu 😂 😂Duuh...na ukiwa unawatongoza wanabinya binya keyboard kabisa?
Sasa mfano huyu ni yupi?Mzee ndiyo mbinu uitumiayo kumbe.
Walaykum msalaamAsalaam aleykum
Hahahaa.. ngoja basi nibadiri kibodi asee..
Ila mimi sichapii sana kama Goddess anavyochapia... utadhani ndio anajifunza kuandika
[emoji28][emoji28][emoji28]Hebu jaribu kuingia huko pm utupe mrejesho!!
Kwa kweli hata mimi napata wakati mgumu sana hasa kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara!! Kuna wakati kabisaa naona huu mwandiko mbona kama wa babe wangu jamaani!!! Ila ID sio yake!!
Hapana mkuu sio mimi.Ndiyo wewe kwa avatar?