dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Kikawaida mwenye mtaji mkubwa hukopeshwa hela nyingi na mwenye mtaji mdogo hukopeshwa kidogo. Usilinganishe nchi yetu na nchi zingineMnavyosemq mama Samia anakopakopa Basi mnamkozea sna mam huyu leo ripot ya imf shirika la fedha duniani imetoka na kuonesha inch kumi zenye Mikopo mikubwa imf na katk nnchi zote hzo Tanzania ya Samia haipo kwenye horodha ya nch zinazodaiwa na imf
Misr imekuwa kinara wa Mikopo kutoka kwa mabeberu
Na nilicho kiona Hapo pia Ni Kwamba nchi zote zenye Mikopo mikubwa imf zot imetuzidi sisi kwa kiuchimi kenya imo ndani kwa kudaiwa trillion 6 na imf
serekali ikope jmn ikope ikiwezeonakope Hadi trillion 50 HV uchumi ukue Sasa jmn
Namkaribisha bwana Lucas mwashamba ajazie nyama 😂😂
Nimeshangaa tu hii ni sentensi moja, inasifu, inaabudu na kusujudu. Kweli wewe ni Lukasi.Kuna mtu nimemweleza habari hii amebaki anabubujikwa na machozi ya furaha kubwa sana .na kusema kuwa hata yeye anatambua Uchapakazi wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan na amekuwa akishangaa wale wachache wenye uchu wa madaraka na chuki binafsi hususani kutoka CHADEMA ambao wamekuwa wakimshambulia kwa lugha za matusi na udhalilishaji ili wamkatishe tamaa na kumvunja moyo Rais wetu mpendwa.
Nasikia we ndiye lile robot linaitwa Eunice.Kuna mtu nimemweleza habari hii amebaki anabubujikwa na machozi ya furaha kubwa sana .na kusema kuwa hata yeye anatambua Uchapakazi wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan na amekuwa akishangaa wale wachache wenye uchu wa madaraka na chuki binafsi hususani kutoka CHADEMA ambao wamekuwa wakimshambulia kwa lugha za matusi na udhalilishaji ili wamkatishe tamaa na kumvunja moyo Rais wetu mpendwa.
unazingua!Kuna mtu nimemweleza habari hii amebaki anabubujikwa na machozi ya furaha kubwa sana .na kusema kuwa hata yeye anatambua Uchapakazi wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan na amekuwa akishangaa wale wachache wenye uchu wa madaraka na chuki binafsi hususani kutoka CHADEMA ambao wamekuwa wakimshambulia kwa lugha za matusi na udhalilishaji ili wamkatishe tamaa na kumvunja moyo Rais wetu mpendwa.
Mimi siyo roboti.Nasikia we ndiye lile robot linaitwa Eunice.
Hahahahahahha wewe ndio mwashamba bhnaKuna mtu nimemweleza habari hii amebaki anabubujikwa na machozi ya furaha kubwa sana .na kusema kuwa hata yeye anatambua Uchapakazi wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan na amekuwa akishangaa wale wachache wenye uchu wa madaraka na chuki binafsi hususani kutoka CHADEMA ambao wamekuwa wakimshambulia kwa lugha za matusi na udhalilishaji ili wamkatishe tamaa na kumvunja moyo Rais wetu mpendwa.
Kweli mkuu upuuz upo Sana ila hatuna Mikopo Kama majiraniYaan wabongo wapuuzi hii habari inakusaidia nini, kingine mikopo yote ya nchi inatoka imf? Unajua samia karuhusu rasilimali ngapi na uwekezaji usio na manufaa kwa kiasi gani? Emb acheni kujifanya hamuoni upuuzi unaoendelea. Msiwe wajinga kupitiliza
Hz itayuuwa jmnTulia uandike vizuri unawahi wapi, njaa mbaya sana
Nabii hakubaliki kwaoMisri wanakopa sana ila mikopo yao inaendana na maendeleo
Vipi Tanzania pesa tunazokopa zinaendana na maendeleo? Zaidi zinafikia mifukoni mwa Mafisadi
Hii nchi ina kirusi kibaya kinaitwa Chawa..!
Nabii hakubaliki kwaoMisri wanakopa sana ila mikopo yao inaendana na maendeleo
Vipi Tanzania pesa tunazokopa zinaendana na maendeleo? Zaidi zinafikia mifukoni mwa Mafisadi
Hii nchi ina kirusi kibaya kinaitwa Chawa..!
Hzi pesa wanazoiba mafisadi huwa sinapelekwa wapi mbna hkn ripoti yoyote Kama pesa zinazoibiwa ziko nnje kwenye mabank ya nnjeMisri wanakopa sana ila mikopo yao inaendana na maendeleo
Vipi Tanzania pesa tunazokopa zinaendana na maendeleo? Zaidi zinafikia mifukoni mwa Mafisadi
Hii nchi ina kirusi kibaya kinaitwa Chawa..!