Mnawachukuliaje wasichana walioweka bleach kichwani?

Madam rita,lulu,wolper ,jkly mengi,mange na wengineo mnaitwa huku chaaap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna demu nimemkuta njiani anamkokota jamaa huku anapayuka "mimi bangi mimi bangi hunijui wewe!". Daaah nikasimama nikasikitika kidogo sijui jamaa anaishije huko kwake.
 
Kwangu sio big deal... Nahisi hata zamani walipoanza kuvaa suruali kuna watu walikuwa na mtazamo kama wako... Lakini leo ni kawaida tu ... I bet hata hizo hairstyle itakuwa normal very soon.
Mkuu ulilosema ni kweli zamani msichana ilikuwa akionekana kavaa suruali alionekana kapinda, kahaba ila nashangaa wazazi wanaona kawaida tu mi nawaogopaga pia watu waliopaka breach mana wengi wao ni malaya lakini nahisi kwa sababu ni kitu kigeni tu tz ila kuna hadi wa maza wanapaka
 
Yah ni kweli mkuu.... Ni kutokana hasa na hili jambo halijazoeleka kwetu lakini kwa wenzetu huko ni kawaida sana na hata ma men wengi wa huko hawalichukulii kama wengi wetu tunavyolichukulia huku.
 
Dah aise mi naona wanapendeza sana yaani sana mkuu. Ni mtindo fulani umeshika kasi sana siku hizi ila kwa kweli mimi sijaona tatizo kabisa. Ila tunatofautiana so you have right to feel the way you feel about it mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…